Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)/sanduku la mchanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Reverted Mobile edit Mobile app edit Android app edit
Kaondosha yaliyomo
Tags: Blanking Manual revert
Mstari 1:
Habari Kuhusu Covid-19
Covid-19 ni ugonjwa unaosababishwa kirusi Aina ya korona . Covid-19 ni kifupi cha corona virus disease of 2019. Ugonjwa huu umeanza huko China ,Wuhan mwishoni mwa mwaka 2019 . Jamii hii ya corona husababisha homa kali ya mapafu na kusambaa kwa njia ya hewa.
Virusi hivu vimesambaa duniani kote kwa haraka sana, lakini kuna nchi kadhaa zinadai kuushinda ugonjwa huu ikiwemo [[Tanzania]]