Joshua Nkomo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Rescuing 0 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 23:
 
===Jaribio la Kuuwawa===
Joshua Nkomo alikusudiwa kufanyiwa mauaji mara mbili, mara ya kwanza ikiwa ni Nchini Zambia, lakini lengo hilo halikufanikiwa lakini pia lakini majaribio ya kumuua yalindelea na baadae yalifanywa na Rhodesia Special Air Service. Katika malengo hayo yalihusha nyumba aliyokuwa akiishi, kiongozi wa jaribio hilo alijaribu kuotroka lakini alikamatwa na mlinzi wa Nkomo akiwa amenaswa katika dirisha na bafuni. <ref> Cline, Lawrence E. (2005) ''Pseudo Operations and Counterinsurgency: Lessons from other countries'', [[Strategic Studies Institute]], [http://www.blackwaterusa.com/btw2005/articles/080105counter.pthigdf read here]{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}p.11 </ref>.
 
Majeshi ya ZAPU, yalifanya mambo mengi ya matumizi ya nguvu katika kuiondoa madarakani serikali ya Rhodesia. Moja kati ya mambo yanayasadikika kuwa ni ya kinyama zaidi kuwahi kutokea ni pamoja na mauaji katika ndege za abiria. Ya kwanza yalitokea tarehe 3/09/1978 na kuua watu 38, kati ya watu 56, na wengine kumi wakijeruhiwa, ikiwa ni oamoja na watoto. Waliobaki hai, walitembea kutoka kuotka eneo hilo hadi Kariba kiasi cha umbali wa kilometa 20.