Kansa ya ini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 25 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q623031 (translate me)
Rescuing 1 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 1:
'''Saratani ya ini''' ni [[kansa]] ambayo huanza katika [[ini]], kinyume na kansa ambayo huanza katika kiungo kingine na kuenea kwenye ini, inayojulikana kama '''metastasis''' ya ini. Ili kuelewa kikamilifu kansa ya ini ni muhimu kuwa na ufahamu wa jinsi ya ini linavyofanya kazi. Ini ni mojawapo wa [[viungo vya mwili]] vikubwa zaidi. Liko chini ya pafu la kulia na chini ya mbavu. Ini limegawanywa katika sehemu mbili: ya kulia na ya kushoto. Protini huchukuliwa na ini kutoka kwa [[mshipa wa portal]], ambao hubeba damu iliyo na virutubishi tele kutoka kwenye matumbo hadi kwenye ini. [[Mshipa wa hepatic]] husambaza damu kwenye ini ambayo ni tajiri kwa [[oksijeni]]. Aina kadhaa za uvimbe zinaweza kuendelea katika ini kwa sababu ini limetengenezwa kwa aina mbalimbali za seli. Uvimbe ambao husababisha Kansa huitwa [[Malignant]] na uvimbe ambao hauna seli za kansa huitwa [[Benign]]. Kansa ya ini hivyo ina uwepo wa uvimbe wa [[malignant hepatic]] - uvimbe juu au katika ini (majina ya kimatibabu yanayohusu ini mara nyingi huanza na hepato, au hepatic kutoka neno la Kigiriki la ini, hēpar, shina hēpat-). Uvimbe wa ini unaweza kugunduliwa kwa kupigwa picha za kimatibabu, ambayo inaweza kutokea kwa bahati katika utambuzi wa ugonjwa tofauti na kansa yenyewe, au inaweza kuonyesha dalili, kama vile molekuli ya tumbo, maumivu ya tumbo, homa ya manjano, kichefuchefu au baadhi nyingine ya kutofanya kazi vizuri kwa ini. <ref> http://www.liverfoundation.org/education/info/progression/{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}</ref>
 
==Uainishaji==
Mstari 25:
==Usimamizi==
Picha ya [[PET-CT]] inaweza kupendekezwa ikiwa madaktari wanafikiria upasuaji kama matibabu. Inatoa maelezo zaidi kuhusu sehemu ya mwili inayokaguliwa. <ref> http://www.cancerbackup.org.uk/Cancertype/Liversecondary/Causesdiagnosis/Furthertests</ref>
Tiba sahihi ya kansa ya ini inaweza kuleta tofauti kati ya maisha na kifo. Si wagonjwa wote wa saratani ya ini wanaweza kutibiwa. Hizi ni baadhi tu ya matibabu yanayopatikana: [[Surgery, Chemotherapy, Immunotherapy, Photodynamic Therapy, Hyperthermia, Radiation Therapy]] and [[Radiosurgery]]. <ref>{{Cite [web |url=http://www.cyberknifecentrelondon.co.uk/print.php?section=3&amp;number= |title=Radiosurgery matibabu ya kansa ya ini] |accessdate=2021-01-16 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20120603012100/http://www.cyberknifecentrelondon.co.uk/print.php?section=3&number= |archivedate=2012-06-03 }}</ref>
 
==Marejeo==