Kidonda cha duodenamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 2 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 15:
}}
<!--Maelezo na dalili -->
'''Ugonjwa wa kidonda cha duodenamu''' ('''UKD'''), huitwao kwa kawaida '''kidonda cha tumbo''', ni mpasuko katika sehemu ya juu ya [[tumbo]], sehemu ya kwanza ya [[utumbo mdogo]], au mara chache [[umio]].<ref name=Na2011>{{cite journal|last1=Najm|first1=WI|title=Peptic ulcer disease.|journal=Primary care|date=September 2011|volume=38|issue=3|pages=383–94, vii|pmid=21872087}}</ref><ref>{{cite web|title=Definition and Facts for Peptic Ulcer Disease|url=http://www.niddk.nih.gov/health-information/health-topics/digestive-diseases/peptic-ulcer/Pages/definition-facts.aspx|website=http://www.niddk.nih.gov/|accessdate=28 February 2015|archiveurl=https://web.archive.org/web/20150402194304/http://www.niddk.nih.gov/health-information/health-topics/digestive-diseases/peptic-ulcer/Pages/definition-facts.aspx|archivedate=2015-04-02}}</ref> Kidonda tumboni huitwa '''kidonda cha tumbo''' huku kile kilicho kwenye sehemu ya kwanza ya matumbo kikiitwa '''kidonda cha duodenamu'''.<!-- <ref name=Na2011/> --> Dalili ya kawaida sana ni kuamka usiku ukiwa na [[epigastriumu|maumivu ya fumbatio la juu]] au maumivu ya fumbatio la juu ambayo hupungua unapokula.<!-- <ref name=Na2011/> --> Maumivu haya mara nyingi huelezwa kuwa maumivu ya[[dispepsia|yanayochoma]] au yasiyo kali.<!-- <ref name=Na2011/> --> Dalili zingine hujumuisha [[kupiga mbweu.]], kutapika, kupungukiwa na uzani, au [[(dalili ya) Anoreksia|kutokuwa na hamu ya kula]].<!-- <ref name=Na2011/> --> Takribani thuluthi ya watu walio wazee zaidi hawawi na dalili.<ref name=Na2011/> Matatizo yanaweza kujumuisha [[uvujaji damu wa tumbo na utumbo mdogo|kuvuja damu]], [[kutoboka kwa tumbo na utumbo mdogo|kutoboka]], na [[kuzibika kwa njia ya tumbo kuzibika|kuzibika kwa tumbo]].<!-- <ref name=Mil2011/> --> Uvujaji damu hutokea kwa asilimia 15 ya watu.<ref name=Mil2011/>
 
== Kisababishi na utambuzi ==
Mstari 21:
 
== Uzuiaji na matibabu ==
[[Lishe]] haichangii sana katika kusababisha au kuzuia vidonda.<ref>{{cite web|title=Eating, Diet, and Nutrition for Peptic Ulcer Disease|url=http://www.niddk.nih.gov/health-information/health-topics/digestive-diseases/peptic-ulcer/Pages/eating-diet-nutrition.aspx|website=http://www.niddk.nih.gov|accessdate=28 February 2015|archiveurl=https://web.archive.org/web/20150320061357/http://www.niddk.nih.gov/health-information/health-topics/digestive-diseases/peptic-ulcer/Pages/eating-diet-nutrition.aspx|archivedate=2015-03-20}}</ref> Matibabu hujumuisha kutovuta sigara, kutotumiaNSAIDs, kutokunywa [[pombe]], na dawa za kupunguza asidi ya tumbo.<!-- <ref name=Na2011/> --> Kwa kawaida dawa inayotumika kupunguza asidi kwa kawaida ni [[proton pump inhibitor]] (PPI) au [[H2 blocker]] huku matibabu ya wiki nne yakipendekezwa hapo mwanzo.<ref name=Na2011/> Vidonda vinavyosababishwa na ''filori H.'' hutibiwa kwa mchanganyiko wa dawa kama vile [[amoxicillin]], [[clarithromycin]], naPPI.<!-- <ref name=Wang2011/> --> [[Ukinzani wa antibiotikinti]] unazidi kuongezeka na hivyo matibabu yanaweza kutosaidia kila wakati.<ref name=Wang2011/> Vidonda vinavyovuja damu vinaweza kutibiwa kwa [[endoskopi]], kwa upasuaji wa wazi unaotumika tu kwa kawaida pale ambapo haijafaulu.<ref name=Mil2011/>
 
== Epidemolojia na historia==