Kim Tae Jung : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q45785 (translate me)
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 1:
[[Picha:Kim Dae-jung (Cropped).png|thumb|right|250px|Picha ya Rais Kim.]]
'''Kim Dae Jung''' (Kikorea: '''김대중 金大中''') ([[6 Januari]] [[1925]] - [[18 Agosti]] [[2009]]) alikuwa rais wa zamani wa nchi ya [[Korea Kusini]]. Mnamo mwaka wa 2000, amepata '''[[Tuzo ya Nobel|Tuzo ya Nobel ya Amani]]'''. Huyu ndiye mtu wa kwanza kutoka Korea kupata Tuzo ya Nobel.<ref>[http://www.asianweek.com/2000_10_26/opinion1_kimdaejung.html Kim Dae-Jung] {{Wayback|url=http://www.asianweek.com/2000_10_26/opinion1_kimdaejung.html |date=20070608231156 }} (Short Asian Week biography)</ref>. Yeye ni [[Kanisa Katoliki|Mroma]] tangu mwaka wa 1957, alikuwa kiitwa "[[Nelson Mandela]]" wa [[Asia]] <ref>[http://archives.cnn.com/2001/WORLD/asiapcf/east/06/12/bio.kim.daejung/ Kim Dae-Jung] (Short CNN biography)</ref>. Kim Tae Jung alikuwa rais na aliyekuja kupokelewa na [[Kim Young-sam]] kuanzia mwaka wa 1998 hadi 2003. Alizaliwa mjini [[Haui-do]], Mkoani [[South Jeolla]], kisiwa kilichopo kwenye Pwani ya Korea Kusini.
 
== Marejeo ==