Kenya Airways : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Kenya Airways''' ni [[kampuni]] ya [[ndege (uanahewa)|ndege]] ya [[taifa]] ya [[Kenya]] yenye makao makuu jijini [[Nairobi]]. Kampuni hii ilianza kufanya kazi zake mwaka 1977 baada ya kuvunjika kwa [[Jumuiya ya Afrika Mashariki]] kulikopelekea kuvunjika kwa [["East African Airways"]]. Hivi sasa kampuni hii inatoa huduma barani [[Afrika]], [[Ulaya]] na [[India]]. Kampuni hii ina safari nyingi za ndege nje ya Afrika kuliko kampuni yoyote barani Afrika. Kampuni hii ilikuwa ikimilikiwa asilimia 100 na serikali ya Kenya mpaka mwaka 1996.
'''Kenya Airways''' ni [[kampuni]] ya [[ndege (uanahewa)|ndege]] ya [[taifa]] ya [[Kenya]].
 
[[Category:Kampuni ya ndege]]
[[Category:Makampuni ya Kenya]]
{{mbegu}}
 
[[bs:Kenya Airways]]
[[de:Kenya Airways]]
[[en:Kenya Airways]]
[[fi:Kenya Airways]]
[[fr:Kenya Airways]]
[[hi:कीनिया एयरवेज़]]
[[id:Kenya Airways]]
[[ja:ケニア航空]]
[[nl:Kenya Airways]]
[[no:Kenya Airways]]
[[pl:Kenya Airways]]
[[pt:Kenya Airways]]
[[sr:Кенија ервејз]]
[[sv:Kenya Airways]]
[[zh:肯尼亚航空]]