Liturujia ya Canterbury : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 5:
Mwaka [[2011]] na [[2012]] [[Papa Benedikto XVI]] alianzisha ma[[jimbo]] matatu kwa Waanglikana walioamua kujiunga na [[Kanisa Katoliki]] kama [[Kundi|makundi]].
 
La kwanza lilianzishwa kwa wale wa [[Uingereza]] na [[Wales]] (lakini pia [[Uskoti]]), la pili kwa wale wa [[Marekani]] (baadaye liliongezewa wale wa [[Kanada]])<ref name="decree">{{cite paper | title = Decree of Erection of the Personal Ordinariate of the Chair of Saint Peter | url = http://www.usordinariate.org/images/CSP_Decree.pdf | last = Cardinal Levada | first = William | publisher = Holy See | date = 1 Januari 2012 | journal = | access-date = 2012-10-21 | archive-date = 2013-09-05 | archive-url = https://web.archive.org/web/20130905155111/http://www.usordinariate.org/images/CSP_Decree.pdf | dead-url = yes }}</ref><ref name=NewUSAnglicanOrdinariate>{{cite web|first=Michelle|last=Bauman|title=New U.S. Anglican Ordinariate Has an Ordinary|date=3 Januari 2012 (1 Januari 2012 print edition)|publisher=EWTN News, Inc|work=National Catholic Register|url=http://www.ncregister.com/daily-news/new-u.s.-anglican-ordinariate-has-an-ordinary?utm_source=feedburner&utm_medium=feed&utm_campaign=Feed%3A+NCRegisterDailyBlog+National+Catholic+Register#When:2012-01-3|accessdate=2012-01-06}}</ref>, la tatu kwa wale wa [[Australia]] (halafu pia [[Japani]]). Jumla ya waamini ni 12,200, ambao wanazidi kuongezeka haraka chini ya [[padri|mapadri]] 162, wengi wao wakiwa na [[ndoa]].
 
Kila mojawapo linaongozwa na padri mwenye [[ndoa]] aliyewahi kuwa [[askofu]] wa Kianglikana, isipokuwa lile la Marekani ambalo limepewa askofu wa kwanza ambaye ni [[mseja]].