Lizz Njagah : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 0 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
 
Mstari 1:
'''Elizabeth Anne Achieng 'Njagah Konstantaras''' (kifupi anaitwa '''Lizz Njagah'''; amezaliwa [[26 Desemba]]) ni [[mwigizaji]], [[mkurugenzi]] na [[mtayarishaji]] wa [[filamu]] wa [[Kenya]].<ref>{{cite web|url=http://m.afrinolly.com/movieActors.php?movieCelebDetails=244|title=Lizz njagah and woos|accessdate=October 11, 2015|website=afrinolly.com}}{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}</ref> Ameonekana katika safu kadhaa za runinga na filamu. Yeye ni mmoja wa waigizaji mashuhuri zaidi nchini [[Kenya]] na anajulikana sana kwa kuwa na majukumu ya kuongoza katika miradi ya runinga na filamu.
 
Alizaliwa na kukulia [[Nairobi]], Lizz alikuwa mtoto wa saba kati ya ndugu 10. Mama yake alifariki miaka kadhaa baadaye na shangazi yake alichukua jukumu la kuwa mlezi wao.<ref>{{cite web|url=http://allafrica.com/stories/201204220183.html|title=Early life and struggles|accessdate=October 11, 2015|website=allafrica.com}}</ref>