Manchester United F.C. : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 9 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 19:
}}
 
'''Manchester United''' ni [[kilabu]] cha [[kandanda]] cha [[Uingereza]], ambacho ni kimojawapo kati ya vilabu maarufu sana ulimwenguni, na kina makao katika [[Old Trafford]] eneo la Greater [[Manchester]]. Kilabu hiki kilikuwa mwanachama mwanzilishi wa Ligi ya Premier mwaka 1992, na kimeshiriki katika divisheni ya juu ya kandanda ya Uingereza tangu mwaka wa [[1938]], isipokuwa msimu wa [[1974]]-[[1975]]. Mahudhurio ya wastani kwenye kilabu yamekuwa ya juu kuliko timu nyingine yoyote katika kandanda ya Uingereza kwa misimu yote isipokuwa sita tangu 1964-65.<ref name="attendance">{{Cite web |title=European Football Statistics |url=http://www.european-football-statistics.co.uk/attn/attneng.htm |accessdate=24 Juni 2006 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20080613212457/http://www.european-football-statistics.co.uk/attn/attneng.htm |archivedate=2008-06-13 }}</ref>
 
Manchester United ndiyo bingwa wa sasa wa Uingereza na washikilizi wa Kombe la Dunia la Vilabu, baada ya kushinda Ligi ya Primia 2008-09 na [[Kombe la Dunia la FIFA]]. Kilabu hicho ni miongoni mwa vilabu vyenye ufanisi mkubwa katika historia ya kandanda ya Uingereza na kimeshinda mataji makubwa 22 tangu Alex Ferguson alipochukua wadhifa wa meneja wake mnamo Novemba 1986. Mwaka wa 1968, kilikuwa kilabu cha kwanza kushinda Kombe la Uropa kwa kucharaza Benfica 4-1. Walishinda kombe la pili la Ulaya kama sehemu ya ushindi wa mataji matatu mwaka 1999, na la tatu mwaka wa 2008, kabla ya kumaliza katika nafasi ya pili mwaka wa cha 2009. Kilabu hicho kinashikilia rekodi mbili ya kushinda mataji mengi ya Ligi ya Uingereza mara 18 na pia kushikilia rekodi kwa wingi wa kutwaa kombe la FA ikiwa imeshinda mara 11.<ref>{{Cite news |title=Manchester United win 11th FA Cup |url=http://www.cbc.ca/sports/story/2004/05/22/manchesterunited040522.html |work=CBC Sports |publisher=Canadian Broadcasting Corporation |date=22 Mei 2004 |accessdate=12 Agosti 2007 }}</ref>
Mstari 34:
Kilabu kilianzishwa kikijulikana kama '''Newton Heath L & YR F.C.''' mwaka wa 1878 kama timu ya kazi ya bohari la Reli la Lancashire na Yorkshire huko Newton Heath. Mashati ya kilabu hiyo yalikuwa ya kijani na nusu dhahabu. Walicheza kwenye uwanja mdogo, uliochakaa huko North Road kwa miaka kumi na mitano, kabla ya kuhamia Bank Street katika mji wa karibu wa Clayton mwaka wa 1893. Kilabu kilikuwa kimeingia ligi ya kandanda ya Football Leagu mwaka uliotangulia na kuanza kukatiza uhusiano wake na bohari la reli, na ikawa kampuni ya kujitegemea, ikimteua katibu wa kilabu na kudondoasha herufi “L&amp;YR” kutoka jina lao na kujiita '''Newton Heath F.C.''' Muda mrefu haukupita, mwaka 1902, kilabu kilikaribia kufilisika, kikawa na madeni ya zaidi ya £2,500. Wakati mmoja, uwanja wao wa Bank Street ulifungwa na wadai wao.<ref name="north_road">{{Cite book |last=Murphy |first=Alex |title=The Official Illustrated History of Manchester United |year=2006 |publisher=[[Orion Publishing Group|Orion Books]] |location=London |isbn=0-7528-7603-1 |page=14 |chapter=1878-1915: From Newton Heath to Old Trafford }}</ref>
 
Kabla ya kufungwa kabisa, kilabu kilipokea uwekezaji mkubwa kutoka kwa J. H. Davies, mkurugenzi mtendaji wa Manchester Breweries.<ref>{{Cite web |url=http://www.talkfootball.co.uk/guides/footballclubs/history_of_manchester_united.html |title=Manchester United FC |accessdate=2008-03-09 |publisher=Talk Football |archiveurl=https://www.webcitation.org/612eZjdan?url=http://www.talkfootball.co.uk/guides/footballclubs/history_of_manchester_united.html |archivedate=2011-08-19 }}</ref> Kuna tetesi kuwa Harry Stafford, nahodha wa kilabu alikuwa akijivunia mbwa wake wa thamani wa aina ya St. Bernard katika mkutano wa kuchangishia kilabu fedha, wakati Davies alipomwendea ili kumnunua mbwa huyo. Stafford alikataa, lakini aliweza kumshawishi Davies kuwekeza katika kilabu na kuwa mwenyekiti wake.<ref>{{Cite news |url=http://news.bbc.co.uk/1/hi/business/4630489.stm |title=Man Utd's turbulent business history |accessdate=8 Juni 2007 |author=Bill Wilson |date=29 Juni 2005 |publisher=BBC News }}</ref> Iliamuliwa katika kikao cha bodi ya mapema kuwa kilabu kilihitaji kubadilishwa jina ili kuashiria mwanzo huo mpya. Manchester Central na Manchester Celtic ni miongoni mwa majina yaliopendekezwa kabla ya Louis Rocca, mhamiaji mchanga kutoka Italy aliposema "Ndugu zangu, mbona tusijiite Manchester united?"<ref>{{Cite book |last=Murphy |first=Alex |title=The Official Illustrated History of Manchester United |year=2006 |publisher=Orion Books |location=London |isbn=0-7528-7603-1 |page=16 |chapter=1878-1915: From Newton Heath to Old Trafford }}</ref> Jina hilo lilibakia hivyo, na Manchester United likawa jina rasmi tarehe 26 Aprili 1902. Davies pia aliamua itakuwa vyema kubadili rangi za kilabu, walitupilia mbalirangi za kijani na nusu dhahabu za Newton Health na kuchagua nyekundu na nyeupe kuwa rangi za Manchester United.
 
Ernest Mangnall aliteuliwa kama katibu wa kilabu baada ya James West ambaye alikuwa amejiizulu kama meneja tarehe 28 Septemba 1902. Mangnall alitwikwa jukumu la kujitahidi kukifika kilabu kwenye Divisheni ya kwanza, na kushindwa kidogo tu katika jaribio la kwanza kusudio hilo kwa jaribuio la, walipomaliza katika nafasi ya tano katika Divisheni ya pili. Mangnall aliamua kwamba ilikuwa muhimu kuleta machipukizi katika klabu, na kuwasajili wachezaji kama vile Harry Moger katika lango, Dick Duckworth, beki wa nyuma na Jack Picken mbele lakini ilikuwa na beki wa nyuma mwingine kwa jina la Charlie Roberts aliyeleta mabadiliko makubwa. Alinunuliwa kwa £750 kutoka Grimsby Town Aprili 1904, na kuisaidi klabu kumaliza msimu wa 1903-04 kikiwa kimekosa alama moja tu kipandishwe ngazi iliyofuata.
Mstari 84:
=== Ushindi mara tatu, Treble (1998–99) ===
[[Picha:PalmaresManU.jpg|thumb|Mataji ya Utatu - ya Ligi Kuu, Ligi ya Mabingwa na Kombe la FA (kushoto kuelekea kulia)]]
Msimu wa 1998-99 kwa Manchester United ulikuwa na mafanikio sana katika historia ya vilabu vya kandanda nchini Uingereza kwani walikuwa timu ya pekee ya Uingereza iliyowahi kushinda mataji matatu - Ligi Kuu (Premier), kombe la FA na taji la mabingwa UEFA Champions Leaguae katika msimu huo.<ref name="BBC">{{Cite news |url=http://news.bbc.co.uk/2/hi/sport/football/353842.stm |title=United crowned kings of Europe |publisher=BBC News |date=26 Mei 1999 |accessdate=11 Agosti 2008 }}</ref> Baada ya msimu wa wasiwasi wa Ligi ya Premier, Manchester United ilitwaa taji hilo kwenye siku ya mwisho ya fainali kwa kuwashinda Tottenham Hotspur mabao 2-1, huku Arsenal ikiishinda Aston Villa bao 1-0.<ref name="SI">{{Cite web |url=http://sportsillustrated.cnn.com/soccer/world/news/1999/05/16/british_roundup/ |title=Man United stands alone |publisher=Sports Illustrated |date=16 Mei 1999 |accessdate=11 Agosti 2008 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20080106060543/http://sportsillustrated.cnn.com/soccer/world/news/1999/05/16/british_roundup/ |archivedate=2008-01-06 }}</ref> Kutwaa taji la Ligi ya Premier kulikuwa sehemu ya kwanza ya ushindi mara tatu (treble), sehemu moja ambayo meneja Alex Ferguson aliieleza kuwa ngumu zaidi.<ref name="SI"/> Katika Fainali ya kombe la FA United ilikabiliana na Newcastle United na kushinda 2-0 kwa mabao kutoka kwa Teddy Sheringham na Paul Scholes.<ref>{{Cite web |url=http://sportsillustrated.cnn.com/soccer/world/news/1999/05/22/fa_cup/ |title=Two down, one to go |publisher=Sports Illustrated |date=22 Mei 1999 |accessdate=11 Agosti 2008 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20081006075501/http://sportsillustrated.cnn.com/soccer/world/news/1999/05/22/fa_cup/ |archivedate=2008-10-06 }}</ref> Katika mechi ya mwisho ya msimu wa 1999 walicheza UEFA Chapions League Final na kuishinda timu ya Bayern Munich katika kile kinafikiriwa kuwa mwamko mkuu sana kuwahi kushuhudiwa, mchuano ulikuwa umeingia muda wa ziada wakiwa wameshindwa kwa bao moja kabla ya kutoka nyuma na kufunga mara mbili na hivyo kushinda 2-1.<ref name="BBC"/> Ferguson baadaye alipongezwa kwa huduma zake katika kandanda na kutunukiwa heshima ya taifa inayompa ruhusa kuitwa "sir".<ref>{{Cite web |url=http://www.iht.com/articles/2004/03/08/stud_ed3_.php |title=Ferguson and Magnier: a truce in the internal warfare at United |publisher=International Herald Tribune |date=8 Machi 2004 |accessdate=11 Agosti 2008 |archiveurl=httphttps://web.archive.org/web/20061128184355/http://www.iht.com/articles/2004/03/08/stud_ed3_.php |archivedate=2006-11-28 }}</ref> Kuhitimisha mwaka huo wa kuvunja rekodi, Manchester United ilishinda kombe la Intercontinental baada ya kuinyuka Palmeiras bao 1-0 mjini Tokyo.<ref>{{Cite web |url=http://www.t3.rim.or.jp/~sports/arch/soa99.html |title=Other News in Soccer in 1999 |publisher=Sports Info Japan |accessdate=11 Agosti 2008 }}</ref>
 
=== Baada ya kipindi cha ushindi Mara Tatu (1999-hadi sasa) ===
United ilishinda ligi mwaka 2000 na 2001, lakini vyombo vya habari vikaona kana kwamba klabu kimeshindwa msimu huo kwa sababu kilishindwa kutwaa tena taji la Ulaya.{{Citation needed|date=Oktoba 2009}} Mwaka 2000, Manchester United ilikuwa mojawapo ya timu 14 waanzilishi wa G-14, kundi la vilabu vya soka mashuhuri Ulaya.<ref>{{Cite web |url=http://www.g14.com/G14members/index.asp |title=G-14's members |publisher=G14.com |accessdate=12 Septemba 2006 }}</ref> Klabu hicho pia kilikataa kushiriki kombe la FA 1999-2000 na badala yake kushiriki katika mashindano ya uzinduzi wa taji la FIFA la Klabu Bingwa Duniani Brazil, kilitaja shinikizo kutoka kwa FA, UEFA na kamati ya Uingereza iliyokuwa ikishughulikia kombe la dunia la 2006. Ferguson aliweka mikakati ya kujihami ili kufanya iwe vigumu kwa United kushindwa Ulaya, lakini mikakati hiyo haikuwa na mafanikio kwani United ilikamilisha msimu wa Ligi Kuu ya 2001-02 katika nafasi ya tatu. Walitwaa tena ligi msimu uliofuata (2002-03) na kuanza msimu uliofuata vizuri, lakini hali yao ilishuka kwa kiasi kikubwa baada ya Rio Ferdinand kupokezwa marufuku tata ya miezi minane kwa kutohudhuria upimaji wa madawa ya kulevya. Walishinda kombe la FA 2004, hata hivyo, waliibandua nje Arsenal (hatimaye Arsenal ilishinda taji la Ligi Kuu msimu huo) wakiwa njiani kuelekea fainali ambako waliishinda Millwall.
 
Msimu wa 2004-2005 ulijawa na hali ya kutofunga mabao, hasa kutokana na jeraha la mshambulizi Ruud van Nistelrooy na United ikamaliza msimu huo bila taji lolote na katika nafasi ya tatu. Wakati huu, hata kombe la FA liliwaponyoka kwani Arsenal iliishinda United kwa mikwaju ya penalti baada ya kutoka sare baada ya kucheza kwa dakika 120. Nje ya uwanja, hadithi kuu ilikuwa uwezekano wa klabu kuchukuliwa, tarehe 12 Mei 2005 na mfanyibiashara wa Kimarekani Malcom Glazer ambaye aliweza kupata udhibiti wa klabu hiyo kupitia uwekezaji kutumia kampuni yake ya Red Football Ltd. katika ununuzi uliothaminiwa kufikia kima cha takribani milioni £800 (wakati huo ikikisiwa kuwa sawa na dola bilioni 1.5).<ref>{{Cite news |url=http://news.bbc.co.uk/2/hi/business/4550141.stm |title=Glazer Man Utd stake exceeds 75% |publisher=BBC News |date=16 Mei 2005 |accessdate=11 Agosti 2007 }}</ref><ref name="CBS">{{Cite news |url=http://www.cbc.ca/sports/columns/newsmakers/malcolm_glazer.html |title=Manchester United's new owner |publisher=CBS Sports Online |date=22 Juni 2005 |accessdate=11 Agosti 2007 |archiveurl=httphttps://web.archive.org/web/20050910141125/http://www.cbc.ca/sports/columns/newsmakers/malcolm_glazer.html |archivedate=2005-09-10 September 2005}}</ref> Tarehe 16 Mei, aliziongeza hisa zake hadi 75% zinazohitajika kukiondoa klabu hicho kutoka Soko la Hisa na kukifanya kuwa binafsi tena, alitangaza nia yake kufanya hivyo katuka muda wa siku 20.<ref name="CBS"/> Tarehe 8 Juni, aliwateua wanawe katika bodi ya Manchester United kama wakurugenzi wasio watendaji.<ref>{{Cite web |url=http://www.abc.net.au/news/stories/2005/06/08/1387352.htm |title=Glazer's sons join Man U board |publisher=ABC News |date=8 Juni 2005 |accessdate=2008-08-11 }}</ref>
 
United ilianza vibaya msimu wa 2005-06, huku kiungo wa kati Roy Keane akiondoka kujiunga na Celtic baada ya kuwakosoa hadharani wachezaji wenzake kadhaa. Klabu pia ilikuwa imeshindwa kuhitimu kufuzu kwa awamu ya mwondoaano wa UEFA Champions League kwa zaidi ya mwongo mmoja, baada ya kupoteza kwa Benfica. Msimu huu pia walikumbwa na mikosi kadhaa ya majeraha kwa wachezaji wakuu kama vile Gabriel Heinze, Alan Smith, Ryan Giggs na Paul Scholes. Hata hivyo, walizuiliwa kuachwa mikono mitupu katika misimu mifululizo- masikitiko ambayo yalikuwa hayajashuhudiwa kwa miaka 17 iliyopita-kwa kushinda kombe la Ligi ya 2006, baada ya kuwalaza majirani zao waliopandishwa cheo Wigan Athletic katika fainali kwa mabao 4-0. United pia ilijihakikishia nafasi ya pili na kufuzu moja kwa moja kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa (Champions League) siku ya mwisho ya msimu kwa kuishinda Charlton Athletic 4-0. Mwishoni mwa msimu wa 2005-06, mmoja wa washambuliaji wa United, Ruud van Nistelrooy, alikihama klabu na kujiunga na Real Madrid, kutokana na ugomvi baina yake na Alex Ferguson.<ref>{{Cite news |url=http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/football/teams/m/man_utd/5322562.stm |title=Ruud accuses Ferguson of betrayal |publisher=[[BBC Sport]] |date=7 Septemba 2006 |accessdate=11 Desemba 2006 }}</ref>
Mstari 108:
Sare ya tatu ambayo huvaliwa katika michuano ya nyumbani ni samawati tangu shati hadi sokisi kwa heshima ya sare iliyovaliwa 1968 timu iliposhinda Kombe la Ulaya, ukumbusho wa moja kwa moja ulifanywa na klabu 2008-09 kukumbuka miaka 40 ya jezi la tatu la 1968. Kinyume na desturi hii ni kuwa ni pamoja na sare ya rangi ya manjano iliyovaliwa katika miaka ya 1970, sare iliyotajwa hapo awali ya mistari ya samawati na nyeupe kuanzia 1996, ambayo ilionekana kuwapendeza sana mashabiki, na shati jeupe iliyokuwa na mikato ya mlazo wa rangi nyeusi na nyekundu kuanzia 2004. United pia imetumia shati zilizo wahi kutumika kama ya mazoezi kuwa sare zao za tatu, iliwahi kutumia sare nyeusi toka juu hadi chini katika msimu 1998-99 na shati samawati iliyokuwa na rangi ya damu ya mzee ubavuni mwaka 2001 kwa michuano dhidi ya Southampton na PSV Eindhoven.
 
Hivi sasa, jezi ya nyumbani ya Manchester United ni nyekundu na iliyo na tepe nyeusi isiyokolea kifuani. Nembo ya klabu huwa juu ya ngao nyeusi yenye ukubwa sawa upande wa kushoto wa V, ilihali alama ya Nike ni nyeupe na huwa upande wa kulia; nembo ya AIG pia ni nyeupe. Katika kukumbuka miaka 100 tangu kufunguliwa kwa uwanja wa klabu hicho cha Old Trafford kuna kitambulisho kinachosoma “Uwanja wa ndoto tangu 1910” (The Theatre of Dreams Since 1910) kilichoshikishwa upande wa mshono. Shati la nyumbani huvaliwa na kaptura nyeupe iliyo na mistari myekundu inayoteremka pande zote mbili za miguu, na soksi nyeusi iliyo na mkato mwekundu.<ref name="home kit"/> Hivi karibuni sare ya kucheza ugenini imekaribiana katika muundo na sare ya nyumbani, lakini shati ni jeusi lililo na utepe wa samawati kifuani na nembo ya klabu huwa juu ya ngao ya samawati. Sawa na sare ya nyumbani, nembo ya wadhamini iko katikati na kwa rangi nyeupe. Kaptura pia ni nyeusi na milia ya samawati ikielekea chini, huku soksi nazo zikiwa nyeusi na tepe ya samawati.<ref name="away_kit"/> Sare ya ugenini ya klabu ya msimu wa 2008-09, inayojumuisha shati jeupe lililo na mstari wa samawati kwenda chini ubavuni na ukosi wa samawati ilio na mkato mwekundu, unaotumiwa kama sare ya tatu ya msimu wa 2009-10. Ikivaliwa pamoja na kaptura za samawati na soksi nyeupe, jezi la tatu lina nembo za wafadhili kwa rangi ya samawati pamoja na herufi "MUFC" nyuma ya ukosi.Beji ya klabu inakalia nguo nyeupe kushoto mwa kifua.<ref>{{Cite news |first=Gemma |last=Thompson |title=Free trophy pic with new kit |url=http://www.manutd.com/default.sps?pagegid={48C41513-A376-4D1F-981D-660FC5BB193E}&newsid=6614065 |work=ManUtd.com |publisher=Manchester United |date=18 Julai 2008 |accessdate=26 Juni 2009 }}</ref><ref>{{Cite web |title=Third Kit 2009/10 |url=http://store.manutd.com/stores/manutd/products/kit_selector.aspx?selector=268 |work=United Direct |publisher=Manchester United |accessdate=7 Agosti 2009 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20090805070424/http://store.manutd.com/stores/manutd/products/kit_selector.aspx?selector=268 |archivedate=2009-08-05 }}</ref>
 
Nembo ya Manchester United imebadilishwa mara chache, lakini umbo la kimsingi limebakia sawa. Beji hiyo imechukuliwa kutoka kwa nembo ya jiji la Manchester. Picha ya Shetani kwenye beji ya klabu ilitokana na lakabu ya klabu “Red Devils” (Shetani Wekundu); lililoanza kutumika mapema miaka ya 1960 baada ya Matt Busby kusikia likirejelea timu ya raga ya Salford kutokana na jezi zao nyekundu.<ref>{{Cite web |url=http://www.manutdzone.com/atoz/r.html#reddevils |title=A to Z of Manchester United&nbsp;— R |accessdate=3 Agosti 2007 |publisher=ManUtdZone.com |quote=In the early 1960's Salford Rugby club toured France wearing red shirts and became known as "The Red Devils". Manager Matt Busby liked the sound of it, thinking that a nasty devil is more intimidating to opponents than angelic babes. }}</ref> Kufikia mwisho wa miaka ya 1960 nembo hiyo ya shetani ilianza kujumuishwa katika utaratibu na shali za klabu kabla ya kujumuishwa kwenye beji ya klabu mnamo 1970 ikishikilia mkuki wenye ncha tatu. Katika mwaka wa 1998, beji iliundwa upya tena, wakati huu maneno "Footbal Club" yakiondolewa.<ref>{{Cite web |url=http://www.prideofmanchester.com/sport/mufc-kits.htm |title=Manchester United kits |accessdate=28 Mei 2007 |publisher=prideofmanchester.com }}</ref>
Mstari 630:
United iliposhinda ligi mwaka 1956, walikuwa na ufuasi wastani wa juu zaidi wa mahudhurio ya ligi nyumbani, rekodi iliyokuwa inashikiliwa na Newcastle United kwa miaka michache iliyotangulia. Kufuatia ajali yao ya ndege Munich mwaka wa 1958, watu zaidi walianza kushabikia United na wengi wakaanza kuhudhuria michuano. Hii illisababisha ushabiki kwa United kupanuka sababu moja inayofanya United kuwa mahudhurio ya juu katika ligi ya kandanda ya Uingereza kwa takribani kila msimu tangu wakati huo, hata wakati waliposhushwa ngazi na kuwa katika Divisheni ya Pili [[1974-75.]]<ref name="attendance"/> Kwa kweli, kwa misimu miwili ambayo United haikuwa na mahudhurio ya ligi, Old Trafford ilikuwa ikifanyiwa kazi kubwa ya ujenzi [[(1971-72]] na 1992-93).
 
Ripoti ya mwaka 2002, kwa anwani ''Do You come From Manchester?,'' Ilionyesha kuwa asilimia kubwa ya wanunuzi wa tiketi za msimu za Manchester City huishi katika wilaya za posta za Manchester, wakati United ilikuwa na idadi kamili juu ya wanunuzu wa tiketi za msimu wanaoishi katika eneo moja.<ref>{{Cite web |url=http://www.e-space.mmu.ac.uk/e-space/bitstream/2173/12506/1/seasonticketreport%20-%20brown1.pdf |title=Do You Come From Manchester? |accessdate=28 Mei 2007 |author=Dr. Adam Brown |year=2002 |format=PDF |publisher=[[Manchester Metropolitan University]] |page=3 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20080227194327/http://www.e-space.mmu.ac.uk/e-space/bitstream/2173/12506/1/seasonticketreport%20-%20brown1.pdf |archivedate=2008-02-27 }}</ref>
 
Katika miaka ya 1990 na mapema miaka ya 2000, chanzo cha wasiwasi kwa mashabiki wengi wa United kilikuwa uwezekano wa klabu kununuliwa. Kundi la wafuasi [[IMUSA]] ''(Independent Manchester United Supporters' Association)'' lilijihusisha sana katika kupinga ununuzi uliotarajiwa wa [[Rupert Murdoch]] mwaka 1998. Kundi lingine lililotoa shinikizo klabu kisiuzwe, ''Shareholders United against Murdoch'' (ambalo baadaye lilikuwa Shareholders United na sasa ni ''[[Manchester United Supporters' Trust)]]'' liliundwa wakati huu kuhamasisha wafuasi kununua hisa za klabu, ili kwa kiasi kuwawezesha wafuasi kuwa na usemi zaidi katika masuala yaliyowatia wasiwasi kama vile bei na mgao wa tiketi, na kwa kiasi kupunguza hatari ya watu wasiohitajika kununua hisa za kutosha kumiliki klabu. Hata hivyo, mpango huu ulishindwa kumzuia Malcolm Glazer kuwa mmiliki mwenye hisa nyingi. Wafuasi wengi walikasirishwa, na baadhi walibuni klabu asi kwa jina [[F.C. United of Manchester.]] Licha ya hasira ya baadhi ya wafuasi kwa wamiliki wapya, mahudhurio yameendelea kuongezeka.
 
Hisia zilizotolewa na mashabiki hao, wakati mwingine umeshutumiwa. Mwaka 2000, maoni yaliyotolewa kuhusu baadhi ya mashabiki katika Old Trafford na nahodha wa wakati huo Roy Keane, kwamba baadhi ya mashabiki hawawezi hata " kuendeleza neno kandanda, acha kuielewa" yalipelekea wao kutajwa kama "mashabiki wanaohudhuria mchuano kufurahia ukarimu wa klabu na wala si kuishabikia".<ref name="RoyKeanerants">{{Cite news |title=Home 10 classic Roy Keane rants |url=http://www.guardian.co.uk/football/2006/aug/24/sport.comment |date=24 Agosti 2006 |accessdate=18 Mei 2008 |publisher=Guardian }}</ref> Alex Ferguson pia ametoa maoni kadhaa kuhusu mashabiki kiasi kwamba alidai kuwa hali iliyoshuhudiwa tarehe 1 Januari 2008 ilikuwa kama "matanga".<ref name="crowdcriticism"/> Baadaye aliongeza, "Nadhani kumekuwa na siku kama hizi hapo nyuma. Ilitokea miaka michache iliyopita, wakati tulipotawala".<ref name="crowdcriticism">{{Cite news |title=Home support disappoints Ferguson |url=http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/football/teams/m/man_utd/7167508.stm |date=2 Januari 2008 |accessdate=2 Januari 2008 |publisher=BBC Sport }}</ref> Baada ya ushindi maarufu wa 1-0 dhidi ya Barcelona ugani Old Trafford, ambao uliiwezesha United kushiriki katika fainali ya Ligi ya Mabingwa ( Champions League) Moscow, Ferguson alisema kwamba mashabiki wa United "walikuwa wapevu sana" na kwamba wao "walituwezesha kufanikiwa".<ref>{{Cite news |title=Boss: Fans forced us to play |url=http://www.manutd.com/default.sps?pagegid={B4CEE8FA-9A47-47BC-B069-3F7A2F35DB70}&newsid=550016 |date=29 Aprili 2008 |accessdate=4 Januari 2009 |work=ManUtd.com |publisher=Manchester United }}</ref><ref>{{Cite news |title=FERGUSON HAILS SCHOLES GOAL |url=http://football365.com/story/0,17033,8652_3495498,00.html |date=28 Aprili 2008 |accessdate=28 Aprili 2008 |publisher=Football365 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20090505120146/http://football365.com/story/0,17033,8652_3495498,00.html |archivedate=2009-05-05 }}</ref>
 
==Uwanja==