Sale (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Rabat Sale 6.83595W 34.02950N.jpg|thumb|Satellitenphoto350px|Picha vonya angani ya Salé pamoja Rabat mtoni Bou Regreg; Salé iko kaskazini na Rabat kusini mto]]
 
'''Salé''' ni mji wa [[Moroko]].
 
Uko ufukoni wa [[Atlantiki]] kwenye mdomo wa mto [[Bou Regreg]] ng'ambo ya [[Rabat]] mji mkuu.
 
Salé ilianzishwa katika karne ya 11 [[BK]].
Mstari 9:
Mwaka 1162 Jamhuri ya Kiitalia ya [[Genua]] ilijenga hapa bandari na kituo cha kijeshi. Mji ulivamiwa na mfalme wa [[Wamuwahid]] [[Abd al-Mu'min]]. Katika karne ya 17 BK Salé ilikuwa mji mkuu wa [[Jamhuri ya Bou Regreg]].
 
[[KategorieCategory:Miji ya Moroko]]
 
[[ar:سلا]]