Tofauti kati ya marekesbisho "Mchezo wa ng'ombe"

206 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
Rescuing 2 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
(Tengua pitio 985499 lililoandikwa na 154.118.224.218 (Majadiliano))
(Rescuing 2 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8)
Pemba ndipo mahali pa pekee katika [[Afrika]] penye desturi hii ya mchezo wa ng'ombe. Hii ni kutokana na athira ya [[Ureno]] kwenye mwambao wa [[Afrika ya Mashariki]] miaka 400 iliyopita. Mara Wareno walikuwa na kituo huko [[Chake Chake]], mara walikuwa na mapatano ya usaidizi na Pemba, mara waliuachia utawala Sultani wa [[Mombasa]]. Haijulikani jinsi walivyoacha desturi hii Pemba.
 
Kuhusu mchezo huu amesema Abdullah Amur Suleiman (http://groups.msn.com/SitiBintiSaad/mchezowangombebullfight.msnw {{Wayback|url=http://groups.msn.com/SitiBintiSaad/mchezowangombebullfight.msnw |date=20050921054142 }}):
 
{{dondoo|''Mchezo wa ng’ombe ni mchezo wa taifa huko Pemba, hapana mtoto wa kiume hata mmoja wa Kipemba, akiwa mwenye asili ya Kiafrika au Kiarabu ambaye hajuwi kumcheza Ng’ombe.
 
==Viungo vya Nje==
*[http://groups.msn.com/SitiBintiSaad/mchezowangombebullfight.msnw Abdullah Amur Suleiman akieleza mchezo huu wa kitaifa] {{Wayback|url=http://groups.msn.com/SitiBintiSaad/mchezowangombebullfight.msnw |date=20050921054142 }}
*[http://www.flickr.com/photos/alaind20sn/sets/72157603822632631/ Picha za mchezo wa ng'ombe Pemba]
{{mbegu-michezo}}