Tofauti kati ya marekesbisho "Mfungo wa Mitume"

93 bytes added ,  miezi 9 iliyopita
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|[[Picha takatifu ya karne ya 13 ikiwaonyesha Mitume Petro na Paulo (Belo...')
 
(Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8)
 
[[Image:Peter and Paul icon Belozersk.jpg|thumb|[[Picha takatifu]] ya [[karne ya 13]] ikiwaonyesha [[Mtume Petro|Mitume Petro]] na [[Mtume Paulo|Paulo]] ([[Belozersk]]).]]
{{Mwaka wa liturujia}}
'''Mfungo wa Mitume''' (pia: Mfungo wa Mitume Watakatifu, Mfungo wa Petro na Paulo, Mfungo wa Mt. Petro na hata Mfungo wa Rafik) <ref>Bulgakov, Sergei, ''Handbook for Church Servers'', [http://transfig.orthodoxws.com/files/Bulgakov/0643.pdf Movable Feasts and Other Church Seasons] {{Wayback|url=http://transfig.orthodoxws.com/files/Bulgakov/0643.pdf |date=20200123201710 }}, (Kharkov, Ukraine, 1900),</ref> ni [[saumu|mfungo]] unaofanywa na [[Waorthodoksi]], [[Waorthodoksi wa Mashariki]] na [[Wakatoliki wa Mashariki]].
 
Mfungo huo unaanza [[Jumatatu]] ya pili baada ya [[Pentekoste]] (siku baada ya [[Jumapili ya Watakatifu Wote]]) na kuendelea hadi [[sikukuu ya Mitume Petro na Paulo]] inayoadhimishwa tarehe [[Juni 29]].