Mjasiriamali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 1:
[[picha:Karachi_-_Pakistan-market.jpg|thumbnail|right|200pax|Mjasiriamali nchini Pakistani]]
'''Mjasiriamali''' ni [[mtu]] ambaye anaandaa, anapanga au anasimamia biashara fulani, akikubali kukabiliana na hatari za [[Biashara|kibiashara]] zinazoweza kujitokeza ilhali analenga kupata faida.<ref>[http://www.businessdictionary.com/definition/entrepreneurship.html#ixzz3xv9ci0nt entrepreneurship.html entrepreneurship] {{Wayback|url=http://www.businessdictionary.com/definition/entrepreneurship.html#ixzz3xv9ci0nt |date=20181116084818 }}, Tovuti ya Businessdictionary.com, iliangaliwa Agosti 2020</ref>
 
Mjasiriamali mara nyingi huonekana kama mbunifu, chanzo cha mawazo anzilishi, mwenye kuvumbua [[bidhaa]] au [[huduma]] mpya na biashara. <ref>{{Cite web|title=What You Should Know About Entrepreneurs|url=https://www.investopedia.com/terms/e/entrepreneur.asp|work=Investopedia|accessdate=2020-02-13|language=en|author=Adam Hayes}}</ref>