Mpanda (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 0 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 3:
Ni [[kitovu]] muhimu cha [[biashara]] ya [[mazao]] kama [[mahindi]] na [[mpunga]]; kuna pia [[dalili]] ya [[uchumi]] wa [[madini]], hasa [[dhahabu]], katika [[mazingira]] yake.
 
Mji umekua sana kuanzia wakazi 46,000 [[mwaka]] [[2002]] hadi kufikia [[idadi]] ya wakazi 102,000 wakati wa [[sensa]] ya mwaka [[2012]]. <ref>[http://www.wavuti.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Katavi - Mpanda TC]{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}</ref>
 
Hadi mwaka 2014 hapakuwa na [[barabara]] za [[lami]] bali njia za [[udongo]] pekee, hivyo [[usafiri]] ulikuwa na shida wakati wa [[mvua]]. Kuna njia ya [[reli]] kutoka huko hadi [[Kaliua]] inapoungana na [[Reli ya Kati]]. [[Safari]] ya reli hadi [[Tabora]] inachukua masaa 10 - 12. [[Mabasi]] yanakwenda kila [[siku]] [[Sumbawanga]] (masaa 5), [[Mbeya]] na Tabora (masaa 9). Baada ya kuwa makao makuu ya mkoa wa Katavi [[uwanja wa ndege]] uliboreshwa mwaka 2012.