Mzumbe : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8 |
||
Mstari 1:
'''Mzumbe ''' ni kata ya [[Wilaya ya Mvomero]] katika [[Mkoa wa Morogoro]], [[Tanzania]] yenye [[Postikodi Tanzania|Postikodi namba]] 67311. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 19,056 <ref>
Mzumbe ilikuwa mahali pa chuo cha utawala (Local Government School) kilichoanzishwa 1953 wakati wa [[Tanganyika Territory]] chini ya Uingereza kilichoendelea kuwa "Institute of Development Management (IDM-Mzumbe)"; tangu mwaka 2001 hadhi ya taasisi ilipandishwa tena kuwa [[chuo kikuu]] cha [[Mzumbe University]].<ref>[http://site.mzumbe.ac.tz/index.php/2015-11-17-00-38-54# Kuhusu Chuo kikuu cha Mzumbe]</ref>
|