Orodha ya kimataifa ya magonjwa na matatizo ya afya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
 
Mstari 1:
'''Orodha ya kimataifa ya magonjwa na matatizo ya afya''' ([[Kiing.]] '''International Classification of Diseases and Related Health Problems''' au '''Uainishaji wa Kimataifa wa Magonjwa Yanayohusiana na Matatizo ya Afya''', kifupi '''ICD''') ni orodha ya magonjwa yaliyopangwa katika utaratibu kufuatana namba zao.
 
Ni utaratibu unaokubaliwa kote duniani kwa kutaja na kurekodi magonjwa. Orodha hii inatolewa na [[Shirika la Afya Duniani]]. Kulikuwa na matoleo mbalimbali na toleo la kisasa ni ICD-10, toleo la 2006. Toleo jipya la ICD-11 inepangwa kwa mwaka 2015.<ref name="WHO ICD-11 Revision information">[http://www.who.int/classifications/icd/ICDRevision/en/ WHO ICD-11 Revision information]</ref>, ambayo itakuwa inapitiwa kwa kutumia [[Web 2.0]].<ref name=Wikipedia>[http://{{Cite web.archive.org/web/20070505051908/ |url=http://www.cbc.ca/health/story/2007/05/02/disease-wiki.html |title=WHO adopts Wikipedia approach for key update<!-- Bot generated title -->] |accessdate=2007-05-05 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20070505051908/http://www.cbc.ca/health/story/2007/05/02/disease-wiki.html |archivedate=2007-05-05 }}</ref>
 
Hii orodha inatumiwa na madaktari, serikali na makampuni ya bima kutaja magonjwa, kukusanya takwimu za sababu za vifo na kupanga shughuli za tiba.