Sikukuu ya msalaba : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8 |
||
Mstari 2:
'''Sikukuu ya msalaba''' ni [[adhimisho]] la [[liturujia]] ya [[madhehebu]] mbalimbali ya [[Ukristo wa mashariki]] na vilevile ya [[Ukristo wa magharibi]], ingawa [[tarehe]] zinatofautiana.
Sikukuu inaitwa kwa [[Kigiriki]] ''Ὕψωσις τοῦ Τιμίου καὶ Ζωοποιοῦ Σταυροῦ''<ref>
Lengo ni kutukuza chombo cha [[wokovu]] wa [[binadamu]] wote kilichotumiwa na [[Mungu]] kadiri ya [[imani]] ya [[dini]] hiyo, yaani [[Yesu Kristo]] aliyeuawa juu ya [[msalaba]] huko [[Yerusalemu]] mwaka [[30]] hivi.
|