Songea (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+Songea_Market.jpg #WPWP #WPWPTZ
Rescuing 1 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 20:
 
}}
'''Songea''' ni [[manisipaa]] nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Ruvuma]] yenye [[postikodi]] [[namba]] ''' 57100 '''.<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/ruvuma.pdf{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}</ref>. Eneo la mji ni [[wilaya ya Songea Mjini]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 131,336 <ref>[{{Cite web |url=http://www.tanzania.go.tz/census/districts/songeaurban.htm |title=Tanzania.go.tz/census/districts/songeaurban |accessdate=2003-05-03 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20030503125307/http://www.tanzania.go.tz/census/districts/songeaurban.htm Tanzania.go.tz/census/districts/songeaurban]|archivedate=2003-05-03 }}</ref>.
 
Kuna barabara ya lami kutoka Songea kupitia [[Njombe]] hadi barabara kuu ya [[Dar es Salaam]] - [[Mbeya]]. Barabara ya kwenda pwani kupitia [[Tunduru]] na [[Masasi]] ni mbaya mara nyingi haipitiki wakati wa mvua.