Sungusungu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 6:
Jina hilo lilianza kupata umaarufu tangu [[miaka ya 1980]] kati ya Wasukuma<ref>Leticia K. Nkonya, Rural Water Management in Africa: The Impact of Customary Institutions in Tanzania,Cambria Press 2008, ISBN-10: 1604975377, ISBN-13: 978-1604975376, uk. 128, [https://books.google.co.tz/books?id=QaoHg7HiikwC&pg=PA130&dq=sungusungu&hl=en&sa=X&ved=0ahUKEwjRtsqru6PjAhUDJVAKHQgsDa4QuwUIKjAA#v=onepage&q=sungusungu&f=false online hapa]</ref> walioona matatizo ya [[wizi]] wa [[mifugo]] na [[ujambazi]] kwenye [[barabara]] baada ya [[vita vya Kagera]] na kurudi kwa [[wanajeshi]] wengi nchini kutoka [[Uganda]].
 
Kufuatana na [[kumbukumbu]] ya wenyeji, walianzia [[Wilaya ya Kahama Vijijini|wilayani Kahama]], [[Jana|kata ya Jana]] na baadaye kuzinduliwa rasmi Kata ya [[Mwalugulu|Mwaluguru]], mwaka [[1982]]<ref>[https://mobile.mwananchi.co.tz/Habari/Shindikilagi-ya-Sungusungu-ilivyotumika--kwa-mauaji-/1597580-2127320-format-xhtml-oylu2w/index.html Shindikilagi ya Sungusungu ilivyotumika kwa mauaji ‘Operesheni Tokomeza Ujangili’] {{Wayback|url=https://mobile.mwananchi.co.tz/Habari/Shindikilagi-ya-Sungusungu-ilivyotumika--kwa-mauaji-/1597580-2127320-format-xhtml-oylu2w/index.html |date=20170322171932 }}, taarifa ya Shija Felician, kwenye gazeti la Mwananchi, 28/12/2013</ref>. Baada ya kuona [[polisi]] haikuadhibu wezi wa mifugo na kuhisi kwamba [[viongozi]] kadhaa upande wa [[serikali]] walishirikiana nao, wananchi wa Jana waliunda [[kundi]] la [[vijana]] waliomchagua [[chifu]] kati yao na kuwinda wezi.
 
Harakati hii ilienea kwenye [[kata]] za jirani. Wezi na majambazi waliuawa mara nyingi lakini [[Vijiji|vijijini]] Wasungusungu waliendelea kuwaua pia watu walioshtakiwa kuwa [[wachawi]]. Baada ya polisi kuwatafuta [[viongozi]] na kuwakamata, Wasungusungu walipata kibali cha [[rais]] [[Julius Nyerere]] waweze kuendelea<ref>Hervé Maupeu & Kimani Njogu, Songs and Politics in Eastern Africa, Mkuki Na Nyota Publishers 2007, ISBN-10: 9987449425, ISBN-13: 978-9987449422, [http://www.africanbookscollective.com/books/songs-and-politics-in-eastern-africa/Songs%20and%20Politics%20in%20Eastern%20Africa%20-%20Foreword.pdf online hapa]</ref>.