Texas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+Texas_hill_country.jpg #WPWP #WPWPTZ
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 41:
 
===Jimbo la Marekani===
Mwaka 1861 Texas iliamua kujiunga na watetezi wa utumwa katika [[Shirikisho la Madola ya Amerika]] (yaani madola ya kusini au ''Confederated States'') waliojitenga na Maungano (USA). Jimbo hili ilikuwa mbali na maeneo ya mapigano na watumwa wake walitangazwa kuwa watu huru mwishoni wa vita mwaka 1865. Katika miaka ya kwanza watu weusi waliweza kupiga kura na kushiriki katika siasa lakini polepole walinyimwa haki hizi. Chama kipya cha Democrats kilipinga nafasi ya wale waliokuwa watumwa katika siasa. Kwa njia ya matishio, kutumia mabavu na hata mauaji weusi wengi walizuiliwa kupiga kura. Baadaye bunge la Texas lililokuwa na Mademocrats wengi yaani watetezi wa utaratibu wa kale liliamua sheria zilizozuia watu weusi pamoja na raia wenye lugha ya Kihispania kupiga kura tena. Kwa mfano kila raia alitakiwa kulipa kodi fulani wakati wa kupiga kura - hii ilizuia watu maskini waipige kura na weusi pamoja na Wasemaji wengi wa Kihispania walikuwa masikini<ref>[http://{{Cite web.archive.org/web/20080402060131/ |url=http://texaspolitics.laits.utexas.edu/html/vce/0503.html |title=Historical Barriers to Voting (archive University of Texas)] |accessdate=2008-04-02 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20080402060131/http://texaspolitics.laits.utexas.edu/html/vce/0503.html |archivedate=2008-04-02 }}</ref>.
 
Hali hii ilibadilika tu tangu miaka ya 1960 ambako harakati ya haki za wananchi raia (ing. ''"Civil Rights Movement"'') iliyongozwa na [[Martin Luther King]] ilifaulu kuhamasisha serikali ya Washington chini ya maraisi [[John F. Kennedy]] na [[Lyndon B. Johnson]] kuanzisha sheria mpya zilizokataa [[ubaguzi wa rangi]] katika majimbo ya kusini. Ilhali sheria hizi ziliamuliwa kitaifa hasa na chama cha Democrats watu wengi wa Texas waliondoka katika chama hiki na kuhamia polepole chama cha Republican ambayo tangu miaka ya 1990 ilikuwa chama cha kwanza cha Texas.