Umeme wa upepo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 3 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 14:
 
==Uenezi==
Mwisho wa [[mwaka]] [[2009]] takriban [[asilimia]] 1.3 ya mahitaji ya umeme [[duniani]] yalipatikana kwa umeme wa upepo.<ref>World Wind Energy Association (2008). [http://www.wwindea.org/home/images/stories/pr_statistics2007_210208_red.pdf Wind turbines generate more than 1 % of the global electricity]</ref> Lakini nchi kadhaa zilizotangulia kuendesha [[teknolojia]] hii zinapata kiasi kikubwa zaidi. Nchi inayopata kiwango kikubwa cha mahitaji yake ya umeme ni [[Denmark]] yenye asilimia 20 za umeme wa upepo. <ref name="Glob"> [http://www.gwec.net/uploads/media/07-02_PR_Global_Statistics_2006.pdf Global wind energy markets continue to boom – 2006 another record year] (PDF).</ref><ref>Global Wind Energy Council (2009). [http://www.gwec.net/fileadmin/documents/Publications/Global%20Wind%202008%20Report.pdf Global Wind 2008 Report], p. 9, accessed on 4 Januari 2010.</ref> Katika [[Hispania]] ni 11% na 9% katika [[Eire]]. <ref>[[International Energy Agency]] (2009). [http://www.ieawind.org/AnnualReports_PDF/2008/2008%20AR_small.pdf IEA Wind Energy: Annual Report 2008] {{Wayback|url=http://www.ieawind.org/AnnualReports_PDF/2008/2008%20AR_small.pdf |date=20110929081350 }} p. 9.</ref>
 
Mnamo mwaka 2015 nchi ya [[Denmark]] ilizalisha asilimia 40% ya umeme wake kwa njia ya umeme wa upepo<ref>[http://www.euractiv.com/section/climate-environment/news/denmark-breaks-its-own-world-record-in-wind-energy/ Denmark breaks its own world record in wind energy], tovuti ya Euractiv.com (15 Januari 2016). Iliangaliwa juni 2017.</ref>. Angalau nchi 83 duniani zinaingiza umeme kutokana na matumizi ya nguvu ya upepo katika mitandao ya umeme ya kitaifa.<ref>[http://germanwatch.org/klima/gsr2011.pdf "Renewables 2011: Global Status Report"] {{Wayback|url=http://germanwatch.org/klima/gsr2011.pdf |date=20130619200844 }} tovuti ya Germanwatch.org(PDF). uk. 11</ref> Mnamo mwaka 2014 umeme wa upepo ulifikia tayari asilimia 4 za umeme wote uliotumiwa duniani. Katika [[Umoja wa Ulaya]] kiasi hiki kilifijia tayari asilimia 11.4 <ref>[http://www.ewea.org/fileadmin/files/library/publications/statistics/EWEA-Annual-Statistics-2015.pdf Wind in power 2015 European statistics February 2016], tovuti ya EWEA EUROPEAN WIND ENERGY ASSOCIATION</ref>
 
Katika [[Afrika]] ni hasa [[Afrika Kusini]] iliyoanza kutumia [[chanzo]] hiki cha [[nishati]]. Nchini [[Kenya]] [[Mradi wa umeme wa upepo wa Ziwa Turkana]] ulianzishwa mwaka [[2010]] ukilenga kutoa [[megawati]] 300 baada ya kukamilika.<ref>{{Cite web |url=http://laketurkanawindpower.com/ |title=Nakala iliyohifadhiwa |accessdate=2011-04-18 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20120129140828/http://laketurkanawindpower.com/ |archivedate=2012-01-29 }}</ref>
 
==Maswali kuhusu matumizi ya nguvu ya upepo==