Mnyoo-matumbo Mkubwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d ChriKo alihamisha ukurasa wa Mnyoo hadi Mnyoo-matumbo Mkubwa: Kuna spishi nyingi za minyoo
Masahihisho
Mstari 1:
{{uainishaji
| rangi = #D3D3A4
| jina = Mnyoo-matumbo mkubwa
| picha = Ascaris_lumbricoides.jpeg
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = Jike la mnyoo-matumbo mkubwa
| himaya = [[Animal]]ia
| nusuhimaya = [[Eumetazoa]]
Mstari 29:
| MeshID = D001196 |
}}
'''Mnyoo-matumbo mkubwa''' au '''mnyoo''' kwa ufupi (''[[Ascaris lumbricoides]]'') ni aina ya [[nematodi]] mkubwa ambaye anaishi katika matumbo ya [[binadamu]] na anasababisha [[ugonjwa]] uitwao [[minyoo]]. Inakadiriwa kwamba karibu ya robo ya idadi ya watu duniani wameathiriwa <ref>{{cite journal |author=Williams-Blangero S, VandeBerg JL, Subedi J, ''et al.'' |title=Genes on chromosomes 1 and 13 have significant effects on ''Ascaris'' infection |journal=Proc. Natl. Acad. Sci. U.S.A. |volume=99 |issue=8 |pages=5533–8 |year=2002 |month=Aprili |pmid=11960011 |pmc=122804 |doi=10.1073/pnas.082115999 |url=http://www.pnas.org/cgi/pmidlookup?view=long&pmid=11960011}}</ref> na ugonjwa huu, na hasa umeenea sana katika maeneo ya kitropiki na maeneo yenye hali duni ya usafi. Aina nyingine ya minyoo ya jamii ya Askaris inaweza kusababisha magonjwa katika mifugo.
 
Maambukizi hutokea kwa njia ya kula chakula kilichoathiriwa na kinyesi chenye mayai ya minyoo aina ya Askaris. Buu wa mnyoo hutotolewa, na kujichimbia kupitia utumbo mdogo, hupita mpaka kwenye mapafu na mwishowe kufikia na kuhamia katika mfumo wa hewa. Kutoka hapo humezwa na mtu na hurudi tena na hukua na kukomaa katika utumbo kwa kuongezeka hadi sentimita 30 (inchi 12) kwa urefu na hujishikiza katika ukuta wa utumbo.