Utengule/Usongwe : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8 |
||
Mstari 18:
}}
'''Utengule Usongwe ''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Mbeya Vijijini]] katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]]. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 41,952 <ref>
Kijiji cha Utengule iko kilomita 16 kutoka [[Mbeya (mji)|Mbeya mjini]] kupitia [[Mbalizi]]. Kuna kanisa na chuo cha Biblia cha Moravian. Mazingira ya Utengule pana mashamba ya [[kahawa]] na shamba kubwa ambalo ni mali ya Waswisi walioanzisha pia hoteli ya Utengule Country Club.
|