Utoto wa Yesu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8 |
|||
Mstari 96:
Kumbe [[vitabu]] vingine vilivyoandikwa baadaye, kuanzia [[karne ya 2]], kama vile [[Injili ya Yakobo]], vinasimulia mengi, ila hayana hakika au hayaaminiki kabisa. Inaonekana lengo la habari hizi mpya lilikuwa kumuonyesha [[mtoto Yesu]] akifanya [[muujiza|miujiza]] kuanzia umri mdogo.
Kati yake labda maarufu zaidi ni ile ya kwamba alifinyanga [[Ndege (mnyama)|vindege]] kwa [[udongo]] na hatimaye kufanya viruke alipoulizwa kwa nini anafanya [[kazi]] ya namna hiyo siku ya [[Sabato]].<ref name=roten>
==Tanbihi==
|