Wilaya ya Mpanda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Riccardo Riccioni moved page Mpanda to Wilaya ya Mpanda over redirect: usahihi wa jina
Rescuing 1 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Mpanda location map.svg|thumb|250px|Mahali pa Mpanda katika [[mkoa wa Rukwa]] kabla ya kuanzishwa mkoa mpya wa Katavi mwaka [[2012]].]]
'''Wilaya ya Mpanda''' ilikuwa wilaya moja ya [[Mkoa wa Rukwa]], [[Tanzania]] hadi mwaka 2012 yenye [[postikodi]] [[namba]] '''50100''' <ref> https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/katavi.pdf{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}</ref>. Katika [[sensa]] ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 412,683 [http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/mpanda.htm] {{Wayback|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/mpanda.htm |date=20040320145342 }}.
 
Mwaka 2012 wilaya ikahamishwa kwenda mkoa mpya wa [[Mkoa wa Katavi|Katavi]]. Mwaka uleule maeneo yake yaligawiwa kati ya [[wilaya ya Mpanda Vijijini]] na [[wilaya ya Mpanda Mjini]].