Tofauti kati ya marekesbisho "Yohane wa Nepomuk"

208 bytes added ,  mwezi 1 uliopita
Rescuing 2 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
(Rescuing 2 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8)
 
alikuwa [[padri]] wa [[Bohemia]] (leo nchini [[Ucheki]]). Aliuawa kwa kutoswa [[Mto|mtoni]] [[Vltava]] kutoka [[Daraja|darajani]] kwa agizo la [[mfalme]] [[Wenseslaus, mfalme wa Warumi]] na wa Bohemia.
 
Baadaye ilisimuliwa kwamba alikuwa [[muungamishi]] wa [[malkia]] na kwamba alikataa ombi la mfalme la kutoboa [[siri]] za [[kitubio]]. Kwa msingi huo anahesabiwa kama [[mfiadini]] wa kwanza wa [[siri ya kitubio]] na [[msimamizi]] dhidi ya [[singizio|masingizio]].<ref name="JBohemia">{{cite web |title=Saint John of Nepomuk |first=Mgr. Luděk |last=Krčmář |url=http://www.sjn.cz/eng/birthplace.htm |publisher=SJN.cz |quote=If in 1369 John of Pomuk was a notary public, he must have been more than twenty years old. Thus he was probably born sometimes between 1340 and 1350 [1349]. |accessdate=2017-02-21 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20160303190729/http://www.sjn.cz/eng/birthplace.htm |archivedate=2016-03-03 }}</ref>
 
Alitangazwa [[mwenye heri]] tarehe [[31 Mei]] [[1721]], halafu [[Papa Benedikto XIII]] alimtangaza [[mtakatifu]] tarehe [[19 Machi]] [[1729]].
== Viungo vya nje ==
{{commons|Saint John Nepomucene}}
* [http://www.sjn.cz/index.htm The "official" page of John of Nepomuk] {{Wayback|url=http://www.sjn.cz/index.htm |date=20041011123451 }}
* [http://www.newadvent.org/cathen/08467a.htm ''Catholic Encyclopedia'' (1910): "St. John Nepomucene"] This provides a Catholic point of view
* [http://www.ccel.org/s/schaff/encyc/encyc06/htm/iii.lvii.lxxvii.htm ''Christian Classics Ethereal Library at Calvin College: "John of Nepomuk"] This provides a Protestant point of view. It was also the source of the initial version of this article.