Charlotte Hill O'Neal : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Charlotte Hill O'Neal''' (alizaliwa [[9 Machi]] [[1951]]<ref>{{cite web |url=https://www.jpanafrican.org/docs/vol11no6/final-Kim-16-ONeal.pdf |title=Those Left Behind |website=jpanafrican.org |access-date=9 May 2019 |quote=She was born March 9th in Kansas City, Kansas in 1951}}</ref>) ni mmoja wa [[Mkurugenzi|wakurugenzi]] wa kituo cha [[United African Alliance Community Center]] (UAACC).<ref>{{Cite book|title=Liberation, imagination, and the Black Panther Party : a new look at the Panthers and their legacy|date=2001|publisher=Routledge|others=Cleaver, Kathleen., Katsiaficas, George N., 1949-|isbn=0415927838|location=New York|oclc=44573264}}</ref> UAACC, ni asasi isiyoisiyolenga yafaida kifaida iloanzishwailiyoanzishwa [[mwaka]] [[1991]] na Charlotte pamoja na [[mume]] wake [[Pete O'Neal]] kwa malengo ya kuwawezesha watu weusi[[Waafrika]] hasa wanaoishi katika maeneo ya [[Vijiji|vijijini]] nchini [[Tanzania]] .<ref>{{Cite book|title=Volunteer to Empower|last=Gott|first=Patricia|publisher=PRGott Books|year=2010|isbn=978-0984589821|location=Norway, ME|pages=30}}</ref> Charlotte ana [[watoto]] wawili ambao ni Malcom na AnnWood .
 
O'Neal ni mmoja wa waasisi wa [[kundi]] la [[washairi]] la mkoani [[Arusha]] lijulikanalo kama [[Arusha Poetry Club]].
 
== Maisha ya awali na elimu ==
O'Neal anatokea katika [[jiji]] la [[Kansas]] nchini [[Marekani]],<ref>{{Cite book|title=The alternative media handbook|last=Kate.|first=Coyer|date=2007|publisher=Routledge|others=Dowmunt, Tony., Fountain, Alan.|isbn=9780415359658|location=London|oclc=154677587}}</ref> ambako alianzia huko kuwa mwanachama wa harakati za chama cha ''Black Panther Party'' mnamo mwaka [[1969]] .<ref name="Ulrich 2005">{{Cite journal|last=Ulrich|first=Ryan|date=Spring 2005|title=Once a Panther, Always a Panther|journal=MALS Quarterly|pages=23–24}}</ref> na kuolewa na kiongozi wa chama hicho Pete O'Neal.<ref>{{cite web |url=https://sfbayview.com/2013/04/charlotte-hill-oneal-mama-c-urban-african-spirit-visits-laney-csu-eastbay/ |title=Charlotte Hill O'Neal – Mama C: Urban African spirit visits Laney, CSU Eastbay |last=Kambon |first=Malaika |date= April 5, 2013 |website=sfbayview.com |access-date=9 May 2019 }}</ref>
 
== Harakati ==
Akiwa na [[umri]] wa miaka 17 alianza harakati katika shule za msingi na shule za upili ambako alikuwa akizunguka kuzungumzia historia ya mtu mweusi.
 
== Kazi nginyine ==
Line 16 ⟶ 18:
[[Jamii:Waliozaliwa 1951]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Wanaharakati wa Marekani]]