Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 188:
 
Tafadhali nisaidie kuelewa jambo. Swali linahusu makala gani? Na mtumiaji gani? Na uhusiano na [[:en:Same-sex Marriage]] (sehemu gani ya majadiliano?) ni nini? Ninaelewa kwamba unaona matumizi ya automatic translate bila masahihisho kama usumbufu. Ila kabla ya kuiweka kwenye Whatsapp nisaidie nielewe vizuri zaidi. (maana machoni pangu KAMA tafsiri ya kompyuta inasafishwa vema, kuna matokeo mazuri - mimi mwenyewe natumia mara kwa mara programu ya tafsiri ya komyuta siku hizi, lakini inahitaji kazi!) '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala#top|majadiliano]])''' 15:06, 18 Januari 2021 (UTC)
 
::Ni ukurasa juu ya [[B. R. Ambedkar]]. Shida ni kwa hawa wasiojua kabisa Kiswahili. Hakuna uhusiano na ndoa za jinsia moja. --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 15:36, 18 Januari 2021 (UTC)