Majadiliano:Jihadi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: Reverted
d Masahihisho aliyefanya JJOSY2000 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kipala
Tags: Rollback Reverted
Mstari 1:
==Maana ya kijeshi ya Jihadi==
Mabadiliko ya [[mtumiaji:JJOSY2000]] yameleta tokeo lisiloweza kuridhisha. Amebadilisha matini kwa kudai hakuna maana ya kijeshi ya istilahi hiyo, bila kuleta chanzo kinachothibitisha maelezo yake. Ameingiza chanzo kimoja ("Answering-Christianity.com) kinachosema " ''Jihad doesn't always mean a war or battle. Any mean for spreading Islam and the Truth, or to fight for what is right and condemn what is wrong (such as fighting the bad and helping the oppressed even if they were not Muslims) are considered Jihad''" - sentensi ya ufunguzi hailingani na madai yake kuwa "Katika Qurani neno "jihadi" halina maana ya mapigano ya kijeshi ". Menginevyo ameleta marejeo yote katika matini yanayothibitisha kinyume ya wazo lake. Tokeo ni makala isiyoeleweka. Kwa sababu hiyo nitarudisha mabadiliko yake, ilhali ninampa kwanza nafasi ya kujibu hapa. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 18:23, 6 Januari 2021 (UTC)
 
==Maana ya kijeshi ya Jihadi==
Kwanini kulazimisha kuwa neno Jihadi maana yake ni Mapigano ya kijeshi, neno Jihadi kwa Kiswahili maana yake ni Jitihada au kujitahidi katika njia ya MwenyeziMungu, hakuna ulazima wa kuwa neno jihadi ni vita. Neno vita kwa Kiarabu si Jihadi bali ni Qatar (قاتل), kwa maana nyingine ni kuua kwenye mapigano.
 
==USHAURI==
Kwanini makala za Kiislamu (Waislamu) zisiandikwe na Waislamu wenyewe, kwanini mtu ambaye sio Muislamu ndio aandike nakala za Waislamu, je itafaa kwa Muislamu kuandika nakala za Wakristo.
Hii ndio imepelekea ndugu Kipara kuwa na uono hasi kuhusu Uislamu na ndio utaona kwenye ukurasa wa Jihadi ameweka kiungo kutoka (www.jihadwatch.com) tovuti ambayo inapinga na kusema vibaya Uislamu. Je Na Waislamu tukweka viungo kuhusu kuusema vibaya Ukristo je itakuwa sawa?
Nini lengo la Kipara kuhariri ukurasa wa Jihadi kama si kupotosha maana na kuweka dhana kuwa Uislamu ni vita na mauwaji, ilihali neno Jihadi halina maana hiyo.
Return to "Jihadi" page.