Mesut Ozil : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:20180602 FIFA Friendly Match Austria vs. Germany Mesut Özil 850 0704.jpg|thumb|314x314px|Mesut Ozil mwaka 2018.]]
[[Picha:Mesut_Özil_and_Daniele_Bonera.jpg|thumb|300x300px|Mesut Özil akichezea timu ya Real Madrid.]]
'''Mesut Özil''' (alizaliwa tarehe [[15 Oktoba]] [[1988]] mjini [[Gelsenkirchen]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Ujerumani]]. Tangu mwaka 2013 anachezea [[timu]] ya [[klabu]] ya Fenerbahçe S.K. .
 
Özil alizaliwa Gelsenkirchen katika jimbo la [[Nordrhein-Westfalen]] aliposoma shule hadi darasa la 10 na kuchez soka katika klabu za mji. Familia yake ina asili ya Uturuki na babu yake alihamia Ujerumani akitafuta kazi viwandani.
Mstari 11:
Kwa sababu ya utendaji wake wa kushangaza katika [[Kombe la Dunia la FIFA]] [[2010]], alifanya nafasi yake kama mmoja wa wachezaji bora wa soka nchini [[Ulaya]]. Baadhi ya timu kama [[FC Barcelona]], [[Manchester United]] na [[Arsenal]] zilimtaka katika kikosi chake. [[Werder Bremen]] alifanya makubaliano na [[Real Madrid]]. Kiasi cha [[uhamisho]] kiliaminika kuwa karibu na € 15,000,000.
 
Kwa sasa Mesut Ozil anachezea [[timu]] ya [[Arsenal]]. Mpaka sasa amepiga zaidi ya pasi za kufunga (assists) zaidi ya 240 kwa mujibu ws ESPN.
 
{{Mbegu-cheza-mpira}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1988]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Wachezaji mpira wa Ujerumani]]
Mpaka sasa amepiga zaidi ya pasi za kufunga(assists) zaidi ya 240 kwamujibu was ESPN.