Wajita : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
'''Wajita''' ni [[kabila]] la [[watu]] wa [[Tanzania]] wanaoishi hasa katika [[Mkoa wa Mara]]. [[Lugha]] yao ni [[Kijita]].
 
Wajita wana muingiliano mkubwa na makabila kama [[Waha]], [[Wahaya]], [[Wanyankole]], [[Wanyoro]], [[Watoro]], [[Wakerewe]], [[Wahangaza]], [[Wanyambo]], [[Wazinza]], [[Wakara]], [[Wakabwa]], [[Waruri]], [[Wasweta]], [[Wasimbiti]], wasubi[[Wasubi]], [[Wakwaya]] na kadhalika. Kulingana na [[historia]] yao wengi waweza kuitana [[mjomba|wajomba]]. Bila kusahau [[Wajaluo]] ambao ni [[mtani|watani]] wao.
 
Wajita nao wana [[Ukoo|koo]] nyingi sana kama Bhajigabha, Bhegamba, Bhatata, Bhagaya, Bharamba, Bhaanga, Bhalinga, Bhaila, Bhalaga, Bhatimba, Bhayango, Bhashora na wengineo.
Mstari 38:
# [[Bitta John Musiba]], aliwahi kuwa [[mchezaji]] wa [[Simba S.C.|Simba Sports Club]] na [[Taifa Stars]]
# [[Isaac Muyenjwa Gamba]], [[mtangazaji]] wa [[Deutsche Welle|DW]], [[Bonn]], [[Ujerumani]]
# [[Kangi Alphaxard Lugola]], Aliwahialiwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
# [[Munasa Sabi Munasa]], kada wa CCM
# [[Sospeter Gomborojo Massambu]], mwanasiasa maarufu
# [[Aristablus Musiba]], mwandishi wa riwaya
# [[Charles Majinge Kusaga]], mkurugenzi wa [[hospitali ya Bugando]], mwenyekiti wa bodi ya wadhamini [[hospitali ya Muhimbili]]
# [[Joseph Kusaga]], mkurugenzi na mmliki wa Clouds Media
# [[Dan Petro Mapigano]], [[jaji]] mstaafu wa [[mahakama kuu]] Tanzania.
# John Nyaindi, Mkuu wa Utumishi na Mafunzo, NBC Bank
# Riziki S. Majinge, mwandishi wa vitabu vya sheria Ulaya, pia mwanaharakati
# Bellen Manyama, Afisa Mwandamizi, UNDP Tanzania
# Masau Bwire, Msemaji wa Klabuklabu Ruvu Shooting
# Sadock Magai Nyakai, IMMMA advocates
# Alphaxad Gomborojo Massambu, Mtaalammtaalam wa Masualamasuala ya Uwekezajiuwekezaji
# Ezekiel Massambu, rubani wa ndege
{{Makabila ya Tanzania}}