Mji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 13:
Kimataifa kulikuwa na makubaliano kwenye mkutano wa kimataifa ya takwimu ya mwaka 1887 ya kuhesabu kila mji mwenye wakazi zaidi ya 100,000 kama "mji mkubwa", miji kati ya wakazi 20,000 na 100,000 kama miji ya wastani na miji kati ya wakazi 5,000 na 20,000 kama miji midogo. Kufuatana na hesabu hii kulikuwa na miji mikubwa 1,700 duniani wakati wa mwaka 2002.
 
Katika Tanzania lugha inayotumiwa kisheria <ref>[http://www.tic.co.tz/media/The_local_government_urban_authorities_act_8-1982.pdf Tanzania LOCAL GOVERNMENT (URBAN AUTHORITIES) ACT, 1982] {{Wayback|url=http://www.tic.co.tz/media/The_local_government_urban_authorities_act_8-1982.pdf |date=20170110195245 }}, fungu 5,4</ref>ni
* [[Jiji]] ("city") kwa miji mikubwa sana
* [[Manisipaa]] ("municipality") kwa miji ya wastani