Mkoa wa Haut-Ogooué : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
svg version (GlobalReplace v0.6.5)
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 1:
[[Image:Gabon - Haut-Ogooué.svg|right|175px|Haut-Ogooué Province]]
'''Haut-Ogooué''' ni moja kati ya [[Mikoa ya Gabon|mikoa]] tisa nchini [[Gabon]]. Mkoa umepewa jina baada ya [[Mto Ogooué]]. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 36,547. Mji mkuu wa mkoa huu ni [[Franceville]]. Miongoni mwa viwanda vyake vikubwa ni pamoja na machimbo ya madini, pamoja na [[manganisi]], [[dhahabu]] na [[urani]] nazo zinapatikana kwenye mkoa huu. Hapa ni nyumbani pa kihistoria kwa tamaduni tatu, kina [[Obamba]], [[Ndzabi]] na [[Téké]]. Kama jinsi ilivyo mikoa mingi katika Afrika, matumizi mengi ya jadi katika ardhi yametupiliwa mbali na kukaribisha ujenzi wa miji mikubwa vijijini.<ref>[{{Cite web |url=http://www.masuku.org/HO.html |title=matumizi mengi ya jadi katika ardhi yametupiliwa mbali na kukaribisha ujenzi wa miji mikubwa vijijini] |accessdate=2010-10-08 |archivedate=2007-03-03 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20070303173928/http://www.masuku.org/HO.html }}</ref> Mnamo mwezi wa Agosti 2006, klabu yake [[soka]] imeshinda [[Kombe la Uhuru la Gabon]].<ref>[http://www.panapress.com/newslatf.asp?code=eng001452&dte=17/08/2006 Pan Express Yanyakua Kombe la Uhuru la Gabon]</ref>
 
Kwa upande wa kaskazini-mashariki, mashariki, na kusini, Haut-Ogooué imepakana na mikoa kadhaa ya [[Jamhuri ya Kongo]]: