Guinea (kanda) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 2:
'''Guinea''' ni jina la kihistoria kwa ajili ya kanda ya kusini ya [[Afrika ya Magharibi]] kati ya [[jangwa]] [[Sahara]] na [[Atlantiki]]. Nchi zote kuanzia [[Senegal]] hadi kaskazini ya [[Angola]] zilihesabiwa kuwa "Guinea". Waandishi wa Ulaya walitofautisha "Guinea ya Juu" (Senegal hadi Kamerun) na "Guinea ya Chini" (Kamerun hadi Angola).
Lugha za Ulaya zilikuwa na majina ya kihistoria kwa ajili ya sehemu mbalimbali
Jina la "Guinea" limetokana na jina la kale kwa ajili ya sehemu kubwa ya upande wa kusini ya Afrika ya Magharibi likimaanisha "nchi ya watu weusi" kwa lugha ya kiberber. Maelezo mengine yasema ni umbo la jina "Ghana" kutokana na ufalme wa kale.
|