Mzee : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8 |
||
Mstari 17:
Wakati umri unazidi na wazee wanakuwa dhaifu [[ugumu]] unaanza kuendelea na cheo cha heshima. Hata hivyo wote wanapaswa kuonyesha heshima kwao hata kama hali halisi hawatajali tena ushauri wao.
[[Tatizo]] hilo ni tofauti kati ya tamaduni za kimila ambako watu dhaifu hawaishi [[muda]] mrefu sana kutokana na [[uhaba]] wa nafasi za [[tiba]] upande mmoja na tamaduni zilizoendelea ambako nafasi za tiba zinawezesha watu wengi kufikia umri mkubwa ambako [[asilimia]] inaanza kupoteza [[akili]] au uwezo wote wa kutembea kwa miaka mfululizo.<ref>
==Mzee katika tamaduni mbalimbali==
|