Mavilus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mavilus''' (pia: '''Mayulo'''; alifariki [[196]] au [[212]]) alikuwa [[Mkristo]] wa Hadrumetum (leo [[Susa]], nchini [[Tunisia]]) aliyetupwa kuliwa na [[wanyamapori]] kwa ajili ya [[imani]] yake wakati wa [[dhuluma]] ya [[kaisari]] [[Caracalla]]<ref>[http://www.newadvent.org/fathers/0305.htm ''Ante-Nicene Fathers'', Vol. 3. edited by Alexander Roberts, James Donaldson, and A. Cleveland Coxe, translated by S. Thelwall.(Buffalo, NY: Christian Literature Publishing Co., 1885.) Revised and edited for New Advent by Kevin Knight.]</ref>.
 
Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]] [[mfiadini]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa [[tarehe]] [[11 Mei]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref> au [[4 Januari]]<ref>[http://www.saintmichaelarchangel.com/martyr01.htm Dominican Martyrology: January]</ref>.
 
==Tazama pia==
Mstari 13:
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
{{mbegu-Mkristo}}
[[Jamii:Waliozaliwa karne ya 2]]