Rudolf Sherwin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Rudolf Sherwin''' (Rodsley, Derbyshire, 25 Oktoba, 1550Tyburn, 1 Desemba 1581) alikuwa padri wa Uingereza. Mwaka mm...'
 
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 1:
'''Rudolf Sherwin''' ([[Rodsley]], [[Derbyshire]], [[25 Oktoba]], [[1550]] – [[Tyburn]], [[1 Desemba]] [[1581]]) alikuwa [[padri]] wa [[Uingereza]].
 
Mwaka mmoja baada ya kupata [[Shahada|digrii]] ya pili aliacha ushirika wa [[Anglikana]] ili kujiunga na [[Kanisa Katoliki]], alipata [[upadrisho]] huko [[Ufaransa]] [[mwaka]] [[1577]] alikwenda [[Roma]] alikokaa miaka 3<ref>[http://www.ralphsherwin.com/ralph-sherwin-a-history/douai-ordination-and-rome/ "Douai, Ordination, and Rome", Saint Ralph Sherwin]</ref>, halafu akatumwa kwao alipofanya [[utume]] kwa [[siri]] miezi michache tu<ref name="kater">[https://www.kateriirondequoit.org/resources/saints-alive/quirinus-rupert-mayer/st-ralph-sherwin/ "St. Ralph Sherwin" by Father Robert F. McNamara] {{Wayback|url=https://www.kateriirondequoit.org/resources/saints-alive/quirinus-rupert-mayer/st-ralph-sherwin/ |date=20180301225927 }} Retrieved on 1 Mar 2018</ref>.
 
Alipokuwa [[Gereza|gerezani]] mwaka mzima aliongoa wengi na hatimaye alinyongwa na kukatwa vipandevipande. Maneno yake ya mwisho yalikuwa: ''"Iesu, Iesu, Iesu, esto mihi Iesus!"''<ref name="shercath">{{CathEncy|title=Blessed Ralph Sherwin |url=http://www.newadvent.org/cathen/12636b.htm}}. Accessed 2011-10-18.</ref>.