Ruvu (Pwani) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 2 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 25:
 
==Beseni la mto==
[[Beseni]] la mto lina eneo la takriban [[kilomita za mraba]] 17,700 <ref>[http://www.globalwaters.net/wp-content/uploads/2012/02/iWASH_RatingCurve_Ruvu_River_508.pdf Developing Rating Curves in the Ruvu River Sub - basin]{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}, taarifa kwa mradi wa Tanzania Integrated Water, Sanitation and Hygiene (iWASH) Program, ilitazamiwa kwenye tovuti ya globalwaters.net mnamo Mei 2016</ref>
 
Ndani yake kuna maeneo matatu ya utiririshaji yaani, Ruvu ya Juu, [[mto Ngerengere|Ngerengere]] na Ruvu ya Chini. Ruvu ya Juu inapokea maji kutoka mtelemko wa [[mashariki]] wa Uluguru, Ngerengere kutoka mtelemko wa [[magharibi]] na Ruvu ya chini kutoka milima mingine.
Mstari 32:
 
==Chanzo cha maji ya Dar es Salaam==
Ruvu ya Pwani ni chanzo kikuu cha maji kwa [[jiji]] la [[Dar es Salaam]]. Hili ni tatizo kwa sababu kiasi cha maji yake huzidi kupungua kutokana na uharibifu wa [[misitu]] na [[mabadiliko ya tabianchi]].<ref>[http://www.gwclim.org/presentations/session5/kalugendo.pdf Impact of climate variability on groundwater resources in Dar es Salaam, Tanzania] {{Wayback|url=http://www.gwclim.org/presentations/session5/kalugendo.pdf |date=20100827053957 }}, by Praxeda Kalugendo, Groundwater & Climate in Africa conference in Kampala (Uganda), June 2008</ref>
 
Tangu mwaka [[1958]] kiasi cha maji ya Ruvu kinapimwa kwenye [[daraja]] la [[barabara kuu]] [[A7, Tanzania|A7]] takriban [[kilomita]] 40 kabla ya [[mdomo]] wake. Kwa [[wastani]] zimepita hapa [[m³]] 61 kwa [[sekunde]]. Kiwango hiki kinabadilika sana kulingana na [[majira]] ya mvua na ya [[ukame]].
 
''Kiwango cha maji ([[mita za ujazo]] kwa sekunde) kinachopita kwenye daraja la Ruvuma karibu na [[Mlandizi]] kwa mwezi''<br />(Ilikadiriwa kwa kutumia data za kipindi cha miaka 46 1958–2004)<ref>[{{Cite web |url=http://easternarc.or.tz/downloads/East-Usambara/Final%20Report_Revised_10_03_2007.pdf |title=HYDROLOGIC AND LAND USE/COVER CHANGE ANALYSIS FOR THE RUVU RIVER] |accessdate=2021-01-20 |archivedate=2014-09-13 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20140913012138/http://easternarc.or.tz/downloads/East-Usambara/Final%20Report_Revised_10_03_2007.pdf }}</ref>
 
<timeline>