Whoopi Goldberg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 10:
|ndoa = Alvin Martin (1973–1979)<br />David Claessen (1986–1988)<br />Lyle Trachtenberg (1994–1995)
}}
'''Whoopi Goldberg''' (amezaliwa na jina la '''Caryn Elaine Johnson'''; mnamo [[13 Novemba]] [[1955]])<ref>Some sources quote her birth year as 1949 and 1950 [http://www.biography.com/articles/Whoopi-Goldberg-9314384 Biography.com] {{Wayback|url=http://www.biography.com/articles/Whoopi-Goldberg-9314384 |date=20091217153450 }}[http://www.imdb.com/name/nm0000155/ IMDB]</ref> ni [[mchekeshaji]], [[mwigizaji]], [[mwimbaji]], [[mtunzi wa nyimbo]], mwanaharakati wa kisiasa, na mtangazaji wa kipindi cha majadiliano kutoka nchini [[Marekani]].
 
Goldberg ameanza kuonekana katika ulimwengu huu wa filamu kwa mara ya kwanza kwenye ''The Color Purple'' (1985) akicheza kama Celie, mwanamke anaye-nyanyasika mjini kusini. Amepokea uteuzi wa [[Academy Award]] kwa Mwigizaji Bora na kushinda kwa mara ya kwanza [[Golden Globe Award]] kwa uhusika wake katika filamu hiyo. Mnamo 1990, amecheza kama Oda Mae Brown, bingwa wa maono anayemsadia mtu aliyeuawa ([[Patrick Swayze]]) kumtafuta mwuaji wake katika filamu bab-kubwa ya ''[[Ghost]]''. Kazi hii imempelekea ashinde tuzo ya pili ya Golden Globe na [[Academy Award akiwa kama Mwigizaji Msaidizi. Baadaye akaja-kupata umaarufu zaidi katika mfululizo wa filamu za ''[[Sister Act]]'' na [[Sister Act 2: Back in the Habit|Sister Act 2]], "[[The Lion King]]", ''[[Made in America]]'', ''[[How Stella Got Her Groove Back]]'', ''[[Girl, Interrupted]]'' na ''Rat Race'' . Pia amevuma sana na uhusika wake wa kucheza kama mwuza baa Guinan katika ''[[Star Trek: The Next Generation]].''