Windhoek : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+Windhoek-269058_1920.jpg #WPWP #WPWPTZ
Rescuing 0 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
 
Mstari 22:
[[Picha:Windhoek ende 19 jahrhundert.jpg|thumb|300px|right|Windhoek mwishoni mwa 19 karne]]
[[Picha:Windhuk stamp.jpg|thumb|300px|right|170px|Mihuri kwa Kijerumani South Afrika Magharibi postmarked ''Windhuk'']]
'''Windhoek''' ni [[mji mkuu]] wa [[Namibia]], na uko mahali pa [http://kvaleberg.com/extensions/mapsources/index.php?params=22_56_S_17_09_E_ 22.56 S 17.09 E]{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}. Idadi ya wakazi wake ni takriban 230,000. Mji huu ni kituo muhimu kwa biashara ya ngozi za kondoo. Zamani ulikuwa makao makuu ya mtemi wa kabila la [[Nama]] aliyewashinda kabila la [[Waherero]] wakati wa karne ya 19. Mwaka wa 1885, nchi ilivamiwa na wakoloni kutoka [[Ujerumani]], na mji wa Windhoek ukawa makao makuu ya serikali ya ukoloni mwaka wa 1892. Wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] nchi ilivamiwa na majeshi ya Makaburu kutoka [[Afrika ya Kusini]] ambao wametawala nchi ya Namibia hadi mwaka wa 1990. Namibia ilipopata uhuru, mji wa Windhoek ukawa mji mkuu wa Jamhuri ya Namibia.
 
{{mbegu-jio-Namibia}}