Çorum : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
 
Mstari 1:
[[Picha:Lion Gate, Hattusa 01.jpg|thumb|right|300px|Mageti ya Simba yaliyokaribuni na mji wa Çorum.]]
'''Çorum''' ni mji uliopo kaskazini mwa [[Anatolia]] ambao ndiyo mji mkuu wa [[Mkoa wa Çorum]] katika [[Uturuki]]. Mji wa Çorum upo katika ardhi ya kati ya [[Bahari Nyeusi]] ya Uturuki, takriban km 244 kutoka mji wa [[Ankara]] na 608 kutoka mjini [[Istanbul]]. Mji una futi za maporomoko zipatayo 801 kutoka [[UB]], eneo la tambarare ni 12,820&nbsp;km² (4950&nbsp;mi²), na kwa sensa ya mwaka wa 2004, idadi ya wakazi imefikia 178,500.<ref>[{{Cite web |url=http://www.corum.gov.tr/corumweb/giris.asp |title=Introduction to Çorum] |accessdate=2009-04-06 |archivedate=2013-12-03 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20131203011300/http://www.corum.gov.tr/ }}</ref>
 
==Marejeo==