Bernardino wa Siena : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Pintoricchio 019.jpg|right|thumb|250px|[[Pinturicchio]] (1486), ''Utukufu wa Mt. Bernardino da Siena'', [[Roma]], kanisa la [[Santa Maria in Aracoeli]]]]
[[Image:Bernardino - Della confessione regole 12., Adi ultimo di gennaio MCCCCLXXXXIIII - 2473056.tif|thumb|''Della confessione regole 12.'', 1494]]
 
'''Bernardino wa Siena''' ([[8 Septemba]] [[1380]] - [[20 Mei]] [[1444]]) alikuwa [[mtawa]] wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] na [[kasisi]] wa [[Kanisa Katoliki]].
 
== Maisha ya awali ==
[[File:Sancti Bernardini Senensis Opera omnia.tif|thumb|''Sancti Bernardini Senensis Opera omnia'', 1745]]
Alizaliwa na kubatizwa [[Massa Marittima]] ([[Siena]]) [[tarehe]] 8 Septemba 1380 katika [[familia]] [[Albizzeschi]] kutoka Siena, ambako alihamia baada ya kubaki [[yatima]], ili alelewe na ndugu zakekusomeshwa na kusomeshwa[[ndugu]] zake.
 
Alizaliwa na kubatizwa [[Massa Marittima]] ([[Siena]]) tarehe 8 Septemba 1380 katika familia [[Albizzeschi]] kutoka Siena, ambako alihamia baada ya kubaki [[yatima]], ili alelewe na ndugu zake na kusomeshwa.
 
== Wito na utume ==
Akiwa na miaka 22, alijiunga na [[utawa]], katika [[tawi]] la [[urekebisho]] wa [[Waobservanti]], ambalo akawa [[nguzo]] yake kuu, pamoja na [[Yohane wa Kapestrano]], [[Yakobo wa Marka]] na [[Alberto wa Sarteano]].
 
Kisha akaanza [[utume]] mkubwa akihubiri kwa mafanikio katika [[Italia Kaskazini]]. [[Kazi]] yake yaliamshailiamsha katika [[Kanisa]] [[imani]] na [[ibada]] kwa [[Jina la Yesu]] na kurekebisha [[maadili]] ya wengi. Ndiye aliyesambaza kila mahali vibao vyenye [[kifupisho]] [[IHS|JHS]] (''Jesus Hominum Salvator'') kikiwa na [[msalaba]] juu yake na kuzungukwa na [[jua]] lenye miali 12.
 
== Kifo ==
Line 18 ⟶ 16:
 
== Heshima baada ya kifo ==
Kutokana na sifa yake kubwa, alitangazwa [[mtakatifu]] na [[Papa Nikolasi V]] mwaka [[1450]]. Kumbukumbu

[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa kila tarehe [[20 Mei]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tazama pia==
Mstari 27:
 
== Marejeo ==
{{reflist}}
* {{1911|article=St. Bernardin Of Siena|url=http://www.1911encyclopedia.org/St._Bernardin_Of_Siena}}
* {{Catholic|wstitle=St. Bernardine of Siena}}
 
== Viungo vya nje ==
{{Commons category|Bernardino of Siena}}
* [http://www.aug.edu/augusta/iconography/bernardino.html St. Bernardino page] {{Wayback|url=http://www.aug.edu/augusta/iconography/bernardino.html |date=20120428181646 }} at ''Christian Iconography''
{{mbegu-Mkristo}}
 
{{Commons category|Bernardino of Siena}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1380]]
[[Jamii:Waliofariki 1444]]