Antibiotiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
Tags: Reverted KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Antibiotiki''' (kutoka [[Kiingereza]] ''antibiotics'', mara nyingine '''Kiuavijasumu'''<ref>Antibiotiki na kiuavijasumu ni istilahi zinazopendekezwa katika [[Kamusi ya Tiba]]</ref>) ni [[kemikali]] ambazo hutumika kuua au kuzuia ukuaji wa [[bakteria]] zinazosababisha [[magonjwa]].
 
Mwanzo neno ''antibi otiki'' lilitumika kuelezea kemikali zinazotengenezwa na [[bakteria]] au [[kuvu]], ambazo ni [[sumu]] kwa [[viumbehai]] wengine. Kwa sasa [[neno]] linatumika kujumuisha [[kampaundi ogania]] (kemikali za [[kaboni]] zinazopatikana katika viumbehai) zinazotengenezwa na zile zinazopatikana kwa kuchanganya asilia na bandia.