Antibiotiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Reverted KihaririOneshi Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu
No edit summary
Tags: Reverted KihaririOneshi Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu
Mstari 1:
'''Antibiotiki''' (kutoka [[Kiingereza]] ''antibiotics'', mara nyingine '''Kiuavijasumu'''<ref name=":0">Antibiotiki na kiuavijasumu ni istilahi zinazopendekezwa katika [[Kamusi ya Tiba]]</ref>ni [[kemikali]] ambazo hutumika kuua au kuzuia ukuaji wa [[bakteria]] zinazosababisha [[magonjwa]].
 
Mwanzo neno ''antibi otiki'' lilitumika kuelezea kemikali zinazotengenezwa na [[bakteria]] au [[kuvu]], ambazo ni [[sumu]] kwa [[viumbehai]] wengine. Kwa sasa [[neno]] linatumika kujumuisha [[kampaundi ogania]] (kemikali za [[kaboni]] zinazopatikana katika viumbehai) zinazotengenezwa na zile zinazopatikana kwa kuchanganya asilia na bandia.
Mstari 9:
[[Picha:Penicillin.jpg|thumb|300px|right|Madawa ya antibiotiki]]
 
== Historia<ref name=":0" /> ==
Mwanzoni mwa [[Miaka ya 1900|muongo wa kwanza]] wa [[karne ya 20]], [[mwanasayansi]] [[Mjerumani]] [[Paul Ehrlich]] alianza majaribio na kampaundi za oganiki ambazo zingeweza kupambana na vijidudu vya magonjwa ya kuambukiza bila kumuumiza/kuathiri mwili wa kiumbe chenye ugonjwa. Majaribio yale yalipelekea katika mwaka [[1909]] kutengenezwa kwa ''[[salvarsan]]'', dawa iliyokuwa na [[arsenic]], ambao ilikuwa na tabia chaguzi juu ya ''[[spirochetes]]'', bakteria wanaosababisha [[kaswende]]. ''Salvarsan'' iliendelea kuwa matibabu pekee kwa [[kaswende]] mpaka ilipokuja [[penicillin]] katika miaka ya [[1940]].