Kinyama-bapa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Nimeongeza mabano
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
Mstari 13:
| subdivision = '''Jenasi 3, spishi 3:'''
* ''[[Hoilungia]]'' <small>[[Eitel]], [[Schierwater]] & [[Gert Wörheide|Wörheide]], 2018</small>
** ''[[Hoilungua hongkongensis|H. Mongkongensis]]'' <small>Eitel, Schierwater & Wörheide, {{2018}}</small>
* ''[[Polyplacotoma]]'' <small>[[Osigus]] ''et al.'', {{2019}}</small>
** [[Polyplacotoma mediterranea|P. mediterranea]]'' <small>Osigus ''et al.'', {{2019}}</small>
* ''[[Trichoplax]]'' <small>[[Franz Eilhard Schulze|Schultze]], 1883</small>
** ''[[Trichoplax adhaerens|T. Adhaerens]]'' <small>Schultze</small>
}}
'''Vinyama-bapa''' ni aina za msingi za [[kiumbehai|viumbehai]] vya [[bahari]] (visivyo [[kimelea|vimelea]]) vyenye [[seli]] nyingi. Wana muundo sahili sana wa [[mnyama|wanyama]] wote. Kufikia sasa, [[jenasi]] tatu, kila moja na [[spishi]] moja, zimepatikana: ''Trichoplax adhaerens'', ''Hoilungia hongkongensis'' na ''Polyplacotoma mediterranea'', ambapo ile ya mwisho huonekana msingi zaidi. Mbili za mwisho zimepatikana tu tangu 2017. Ingawa spishi ya kwanza iligunduliwa mnamo [[1883]] na [[zoolojia|mwanazoolojia]] wa [[Ujerumani]] Franz Eilhard Schulze (1840-1921) na tangu miaka ya [[1970]] ilichambuliwa zaidi na mtaalamu wa [[protozoolojia]] wa Ujerumani Karl Gottlieb Grell (1912-1994), jina la kawaida bado halipo kwa [[faila]] hii katika takriban [[lugha]] zote.
 
==Maelezo==