Samuel Chukwueze : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Samu Chukwueze.jpg|thumb|Picha ya Mchezaji Samuel Chukwueze akiichezea timu ya villareal]]
'''Samuel Chukwueze''' (alizaliwa [[Umuahia]], [[Nigeria]], [[22 Mei]] [[1999]]) ni [[mchezaji]] wa [[mpira wa miguu]] nchini [[Hispania]] katika [[klabu]] ya Villareal kwenye ligi La Liga.
Mchezaji huyu ana [[urefu]] wa [[mita]] 1.72 na ana [[uzito]] wa [[kilo]] 70.
 
== Maisha ya awali na Elimu ==
Chukwueze alizaliwa Umuahia katika jimbo la [[Abia]],anatokea katika kabila la [[Igbo]] ni mkristo na kaka wa ndugu wawili wa kike na kiume,alisoma katika chuo cha serikali cha ''Government College Umuahia'' na elimu ya upili aliipata katika shule ya ''Evangel Secondary School'', alianza kucheza mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka 8 na alivutiwa zaidi na mcheza [[Jay-Jay Okocha]] na kuwa chanzo cha [[maendeleo]] katika mchezo wake wa mpira wa miguu,alikulia katika mikono ya [[Victor Apugo]] alomchukulia kama baba yake katika tasnia ya michezo .<ref>{{Cite news|url=http://diamondfa.com/content/samuel-chukwueze-biography-exclusive-interview|title=Samuel Chukwueze Biography (Exclusive Interview)|date=2016-09-03|work=Diamond Football Academy Official Website|access-date=2018-11-07|language=en}}</ref><ref>{{Citation|last=Naijagood TV|title=Samuel Chukwueze Interview|date=2016-09-14|url=https://www.youtube.com/watch?v=0C8igUmm9SI|access-date=2018-11-07}}</ref>
 
==Marejeo==