Maangamizi: The Ancient One : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Maangamizi: The Ancient One''' ni [[filamu]] ya Ki[[tanzania]] ambayo imetengenezwa na [[Jonathan Demme]] chini ya usimamizi wa wakurugenzi [[Martin Mhando]] na [[Ron Mulvihill]].
 
Ilitangazwa kwenye Tamasha la Filamu la Pan African na imeshiriki katika Sherehe za Filamu zaidi ya 55 [[ulimwenguni]] kote. Filamu hii ilipendekezwa kwenye tuzo iliyoitwa Academy award kwa filamu bora kwa [[lugha]] ya kigeni kutokea nchini Tanzania na ndio ilikua filamu pekee lakini haikuweza kuchaguliwa katika tuzo hiyo mnamo [[mwaka]] [[2016]].
 
==Muundo==
Daktari Asira amekutana na utofauti kati ya madawa ya kisasa na ya kiasili yanayojihusisha na imani kutokea Afrika Mashariki. Amekutana na utofauti huu pale ambapo mwanamke Samehe ameletwa hospitali. Samehe alikuwa akidai yupo chini ya uangalizi wa Maangamizi, [[mizimu]] ya [[Babu|mababu]]. <ref>{{cite web | last =Deming | first =Mark | title =Maangamizi: The Ancient One | publisher =[[Allmovie]] | url =http://www.allmovie.com/cg/avg.dll?p=avg&sql=1:255653 | accessdate =2007-07-13 }}</ref>
 
==Marejeo==