Achile Kiwanuka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 3:
Hao walikuwa wahudumu wa [[ikulu]] ya [[kabaka]] wa [[Buganda]] [[Mwanga II]] ([[1884]] - [[1903]]) ambao waliuawa kati ya tarehe 15 Novemba 1885 na tarehe [[27 Januari]] [[1887]] kwa sababu ya kumwamini [[Yesu Kristo]] baada ya kuhubiriwa [[Injili]] na [[Wamisionari wa Afrika]] walioandaliwa na [[kardinali]] [[Charles Lavigerie]].
 
NdioHawa ndio wafiadini wa kwanza wa [[kusiniKusini kwa Sahara]] kuheshimiwa na Kanisa Katoliki kama [[watakatifu]].
 
[[Sikukuu]] yao huadhimishwa tarehe [[3 Juni]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tazama pia==
Line 11 ⟶ 13:
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-Mkristo}}
[[Jamii:Waliofariki 1886]]
[[Jamii:Wafiadini Wakristo]]