Mnyoo-kichocho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
 
Mstari 51:
Minyoo wapevu huishi kwenye [[vena]] za matumbo au kibofu. Wanazalisha idadi kubwa ya mayai, ambayo huamili kupitia ukuta wa matumbo au kibofu kuingia uwazi. Kisha hutolewa pamoja na [[kinyesi]] au [[mkojo]]. Walakini mayai mengine yanaweza kubebwa na damu kwenda sehemu nyingine za mwili, ambapo wanaweza kuingia kwenye [[tishu]] nyingine na kuzingirwa. Hii inaweza kusababisha kila aina ya shida.
 
Mayai yakitomba ndani ya maji lava hutoa wanaoitwa [[mirasidio]] na waliofunikwa na [[silio]] na ambao hutafuta konokono wa maji ili kuwaambukiza. Konokono hao hutumika kama vidusiwa vya kati na spishi tofauti huwa na lava wa minyoo tofauti. K.m. konokono vidusiwa wa "''S. mansoni"'' ni spishi za "''Biomphalaria"'' na zilewale zawa "''S. haematobium"'' ni spishi za "''Bulinus"''. Lava huzaana bila ngono katika konokono kidusiwa wao hadi watoke kama aina tofauti ya lava inayoitwa [[serkari]] ambaye ana [[mkia]] wa kuogelea. Serkari hutafuta kidusiwa cha mwisho na wakipata mmoja hupenya ngozi yake wakipoteza mkia wao wakati wa [[mchakato]] huo.
 
Mara tu ndani ya mwili lava sasa huitwa [[skistosomula]]. Wanaingia kwenye mishipa ya damu na kusafiri kupitia [[moyo]] na [[ini]] hadi kwenye vena ya matumbo au kibofu, ambapo hukomaa. Skistosomula nyingi huuawa njiani na [[seli ya kinga|seli za kinga]]. Wapevu huepuka ]]mfumo wa kingamaradhi]] kwa kujifunika na [[antijeni]] za kidusiwa.