Karelia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+Kizhi_church_1.jpg #WPWP #WPWPTZ
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Map of Russia - Karelia.svg|thumb|right|300px|Mahali pa Karelia katika [[Russia]]]]
[[Picha:Flag of Karelia.svg|left|70px]]
'''Karelia''' ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini [[Urusi]]. [[Mji mkuu]] wake ni [[Petrozavodsk]]. Karelia ilikaliwa na wakazi wanaoongea [[Kifini]]. Kwa muda mrefu maeneo yake yalipiganiwa baina [[Urusi]] na [[Uswidi]]. Tangu mwaka 1721 sehemu kubwa ya Karelia ilikuwa sehemu ya [[Milki ya Urusi]], sehemu nyingine ilibaki upande Uswidi ikawa baadaye sehemu ya ufalme mdogo wa Ufini ndani ya milki ya Urusi. Baada ya uhuru wa Ufini mnamo 1918, Wakarelia walijikuta katika nchi mbili tofauti. Baada ya Vita ya Umoja wa Kisovyeti dhidi ya Finland, sehemu kubwa ya KArelia ya Ufini ilihamishwa upande wa Kirusi.
'''Karelia''' ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini [[Russia]]. [[Mji mkuu]] wake ni [[Petrozavodsk]].
 
Umoja wa Kisovyeti ilipeleka Warusi na Waukraine wengi Karelia, hivyo asilimia ya watu wanaoendelea kusema Kifini imepungua sana.
 
== Tazama pia ==